Simba timu ya wazalendo kutwaliwa kwa bei chee, January Makamba mwenye ndoto za urais ni mshauri mmojwapo wa Mo Dewji

Mtu analalamika lakini ukimuuliza lini mwisho kulipia ada yake ya uanachama hakumbuki lakini anataka timu iwe na mafanikio!,hapo roho mbaya ndio tatizo maana Wabongo tuna roho mbaya sana tukiona mtu ana mafanikio ndio maana hata wakati wa Magufuli walifurahi sana utakuta mtu anakuambia Magufuli kiboko kanyoosha watu sasa wote tupo sawa,hiyo sawa sio kama na yeye kipato chake kimeongezeka ila anafurahi kwa sababu fulani naye sasa kapigika.
Umeongea ukweli wa Mungu.
 
Wiki iliyopita wakati Mo Dewji akiwa katika Press Confrence ya kukabadhi Bilioni 20 za ununuzi wa hisa zake asilimia 49 za klabu ya Simba alimshukuru January Makamba kwa ushauri mkubwa ambao amekuwa akimpatia katika uendeshaji wa Klabu ya Simba.

January Makamba huwa anamshauri nini Mo Dewji katika kuindesha Klabu ya Simba ikiwa ametizama kwa macho yake Simba ikiondoka mikononi mwa wananchi kwa bei sawa na bure?

Makamba bado anataka aaminiwe na wazalendo kuupata Urais siku mmoja ikiwa watu anaofungamana nao ni wakina Mo Dewji?!

Mo Dewji kuichukua nusu ya Simba kwa bilioni 20 ni sawa na kuokota dodo chini ya Mnazi, Simba sio ya bei chee kiasi hicho.

Mtu yeyote Mwenye akili ndogo kabisa za biashara anafahamu vyema Mo ananufaishwa sana na Simba kibiashara kuliko uwekezaji wake kwa klabu hii Kubwa na Kongwe nchini japo yeye mwenye anasema hapati chochote katika kuwekeza "machozi, jasho na damu kwa Simba"
January nae ni walewale tu! Mtu mwenye akili timamu anaweza kushauri choo kiwe km 10 toka eneo la mradi unaootekelezwa?
Screenshot_20210805-073814_Twitter.jpg
 
Wiki iliyopita wakati Mo Dewji akiwa katika Press Confrence ya kukabadhi Bilioni 20 za ununuzi wa hisa zake asilimia 49 za klabu ya Simba alimshukuru January Makamba kwa ushauri mkubwa ambao amekuwa akimpatia katika uendeshaji wa Klabu ya Simba.

January Makamba huwa anamshauri nini Mo Dewji katika kuindesha Klabu ya Simba ikiwa ametizama kwa macho yake Simba ikiondoka mikononi mwa wananchi kwa bei sawa na bure?

Makamba bado anataka aaminiwe na wazalendo kuupata Urais siku mmoja ikiwa watu anaofungamana nao ni wakina Mo Dewji?!

Mo Dewji kuichukua nusu ya Simba kwa bilioni 20 ni sawa na kuokota dodo chini ya Mnazi, Simba sio ya bei chee kiasi hicho.

Mtu yeyote Mwenye akili ndogo kabisa za biashara anafahamu vyema Mo ananufaishwa sana na Simba kibiashara kuliko uwekezaji wake kwa klabu hii Kubwa na Kongwe nchini japo yeye mwenye anasema hapati chochote katika kuwekeza "machozi, jasho na damu kwa Simba"

Wewe huna akili kabisa, ulichoandika hapa ni matakataka, nadhani umri wako haufiki hata miaka 15, maana huijui historia ya Simba! La sivyo nenda ukawe mshauri wewe!
 
Wiki iliyopita wakati Mo Dewji akiwa katika Press Confrence ya kukabadhi Bilioni 20 za ununuzi wa hisa zake asilimia 49 za klabu ya Simba alimshukuru January Makamba kwa ushauri mkubwa ambao amekuwa akimpatia katika uendeshaji wa Klabu ya Simba.

January Makamba huwa anamshauri nini Mo Dewji katika kuindesha Klabu ya Simba ikiwa ametizama kwa macho yake Simba ikiondoka mikononi mwa wananchi kwa bei sawa na bure?

Makamba bado anataka aaminiwe na wazalendo kuupata Urais siku mmoja ikiwa watu anaofungamana nao ni wakina Mo Dewji?!

Mo Dewji kuichukua nusu ya Simba kwa bilioni 20 ni sawa na kuokota dodo chini ya Mnazi, Simba sio ya bei chee kiasi hicho.

Mtu yeyote Mwenye akili ndogo kabisa za biashara anafahamu vyema Mo ananufaishwa sana na Simba kibiashara kuliko uwekezaji wake kwa klabu hii Kubwa na Kongwe nchini japo yeye mwenye anasema hapati chochote katika kuwekeza "machozi, jasho na damu kwa Simba"
Mkuu naomba tusaidie thamani ya simba sports club.
 
Sikia dogo, hizi timu Simba na Yanga ni timu zilikuwa hazina hela hata kidogo, ni kina Mo na GSM tu ndizo zinawasaidia kifedha.
 
Yanga kwa Miaka 10 tu wamepewa mkataba wa billion 41 wa media tu na Azam peke yake na klabu itaendelea kubaki ya wananchi. Nusu ya Simba haiwezi kuwa na thamani billioni 20 tu kamwe.
Yani kwako kuna vuja alafu unamcheka Mwenzako aliyeweka kigae cha south africa!!...
 
Mkuu ninachokiona hapa ndicho nilichotarajia kifupi hakuna jipya. Wewe unasema simba thamani yake zaidi ya bilioni 300 tuonyeshe basi. Haki za matangazo za azam kwa Yanga ni vitu tofauti na uwekezaji tunaozungumzia hapa.
Tunarudi kule kule kwa wapiga kelele kama akina Manara
 
Back
Top Bottom