TUJIKUMBUSHE KIDOGO JAMANI, HUKU TUKIJIULIZA KATI YA MWANJALI NA WAWA NANI BORA?
NA KOSA HILI TUNAELEKEA KULIFANYA TENA TUNATAKA KUSAJILI ANGE BARES MCHEZAJI WA MIAKA 32 WA NINI SISIWote ni bora tatizo linakuja pale ambapo tuliwapata wote wawili kwa nyakati tofauti miaka yao ikiwa imeenda sana tumeshindwa kumfaidi yule Pascal Wawa OG wa Azam,Mwanjali kwa msimu alikuja pale msimbazi jaribu kuvuta picha kama angekuja Misimu Minne nyuma!!balaa lingekua kubwa
Habari zenu wadau.
leo hii tarehe 01.07.2019 wawa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja