Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Simbaaaa TPL champion
moodewji___Bxup0FTFMfR___.jpg
 
*BOFYA LINK HII HAPA CHINI KUFAHAMU UKWELI WA HISTORIA YA SIMBA*

*SHARE NA MASHABIKI WENGINE WAFAHAMU UKWELI WA TIMU YAO ASANTE*
 
Wote ni bora tatizo linakuja pale ambapo tuliwapata wote wawili kwa nyakati tofauti miaka yao ikiwa imeenda sana tumeshindwa kumfaidi yule Pascal Wawa OG wa Azam,Mwanjali kwa msimu alikuja pale msimbazi jaribu kuvuta picha kama angekuja Misimu Minne nyuma!!balaa lingekua kubwa
TUJIKUMBUSHE KIDOGO JAMANI, HUKU TUKIJIULIZA KATI YA MWANJALI NA WAWA NANI BORA?
 
Wote ni bora tatizo linakuja pale ambapo tuliwapata wote wawili kwa nyakati tofauti miaka yao ikiwa imeenda sana tumeshindwa kumfaidi yule Pascal Wawa OG wa Azam,Mwanjali kwa msimu alikuja pale msimbazi jaribu kuvuta picha kama angekuja Misimu Minne nyuma!!balaa lingekua kubwa
NA KOSA HILI TUNAELEKEA KULIFANYA TENA TUNATAKA KUSAJILI ANGE BARES MCHEZAJI WA MIAKA 32 WA NINI SISI
 
Kagere pia kaongeza mkataba wa miaka miwili hivyo kuzima kabisa ndo na maombi ya wazee wa mabakuli kuwa anaondoka kipindi hiki cha usajili
 
Back
Top Bottom