Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Wamekosea sana kuwaanzisha Rashid Juma na Said Dilunga hawa watu wana athari wakitokea sub wameshausoma mchezo.
Denis Kitambi na na Patrick wamefeli sana
Kabisa hata pale nyuma Juurko + Bukaba ni dolo sana huwa hawazuii vzr.
Unamuacha nje okwi, chama ,wakati huo haruna hachezi... Ngoja tuone 2nd half.
 
FT: Mbeya city 1-2 Simba..(Mkude + Kagere.
Next ni T.Prison hapo hapo Mbeya siku ya Jumapili.
SIMBA NGUVU MOJA
 
sisi wanayanga tunamuhitaji khaji manara afike pale jangwani aanze kazi mara moja
 
SIMBA BINGWA 2018/19

IMG_20190521_180156.jpg
 
Back
Top Bottom