3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,882
Kabisa hata pale nyuma Juurko + Bukaba ni dolo sana huwa hawazuii vzr.Wamekosea sana kuwaanzisha Rashid Juma na Said Dilunga hawa watu wana athari wakitokea sub wameshausoma mchezo.
Denis Kitambi na na Patrick wamefeli sana
Unamuacha nje okwi, chama ,wakati huo haruna hachezi... Ngoja tuone 2nd half.