Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

FT: Kagera 2 - 1 Simba
Viporo vyetu tuwe navyo makini... Next ni ALLIANCE pale Kirumba.
Simba nguvu moja
Havitachacha vyote nilichogundua fatiki inawatesa wachezaji ikumbukwe wameingia bukoba siku moja kabla ya mechi ila si mbaya tutafanya vzr point 9 za kanda ya ziwa uhakika niamini ninachokwambia
 
Wamekosea sana kuwaanzisha Rashid Juma na Said Dilunga hawa watu wana athari wakitokea sub wameshausoma mchezo.
Denis Kitambi na na Patrick wamefeli sana
 
Back
Top Bottom