logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,240
- 5,533
Wangekula zaidi ya mkono wa jana, sisi Simba wajanja tukaikimbia YangaDah sipati picha hiyo game na Yanga wangerudi dimbani sijui ingekuaje!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangekula zaidi ya mkono wa jana, sisi Simba wajanja tukaikimbia YangaDah sipati picha hiyo game na Yanga wangerudi dimbani sijui ingekuaje!!
Ilikuwa wale 10 hawaDah sipati picha hiyo game na Yanga wangerudi dimbani sijui ingekuaje!!
2019: Al Ahly 10-0 Simba underdog
Ndugu zetu watavunja rekodi walizojiwekea
TungerudishaDah sipati picha hiyo game na Yanga wangerudi dimbani sijui ingekuaje!!
Simba waligoma kurudi uwanjani na Yanga wakarudi na refa akasubili hawakutokea, sheria za mpira zikafata mkondo
Lakini Simba imetanguliza advansi ya kufutia machozi.. Simba 3 - 0 J Soura ALGERIA!!