Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Kwa huu umati ninaouona ktk tv wakiwa uwanjani simba day alafu jana watu wanalalamika hawakupata jezi kutokana na mpango mbovu wa uuzaji na usambazaji, ni wazi simba wamepoteza kwa jana na leo pesa nyingi sana. Wangeziuza hata kwa 15000 kiwanjani, watu wangenunua wanaonekana wamehamasika sana.
Mikakati mibovu.
 
Back
Top Bottom