eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Yuko poa hajaja kuzururaHuyu mghana nae anaonyesha yuko sawa!
Na mtibwa sugarHivi ni kweli keshokutwa tunacheza na Singida united??
Iko poa sananaskia thimba wameamua kuingia kwenye mfumo wa hisa et wadau.ikoje hii
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio list au sio..Omong fanya hivi....
Manura.
zimbwe
Mwanyali
kotei
Nyoni
Mo
Mzamiru
Nyonzima
kichuya
mavugo
Okwi
Sent using Jamii Forums mobile app