PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,107
- 14,352
Hongera Mnyama kwa kutwaa kombe la mapinduzi 2017
Hongera Mnyama kwa kutwaa kombe la mapinduzi 2017
Vyura vya pale mto msimbaziKwa Simba Hii Nalala Kwa Amani Kabisa Siku Hadi Siku...... Wacha Vyura FC waendelee Kuweweseka Wakati Mnyama Anaendelea Kushine
Tunakusubiri uanzisheMbona hamuanzishi thread ya songea?
Nyie mikia, mnacheza lini?
Wanaume tunaenda ugenini na bendera
Amekufa bakooora ngapi?ASANTE SIMBA KWA KUMCHARAZA LYON KOMBE LA FA
HahahaASANTE SIMBA KWA KUMCHARAZA LYON KOMBE LA FA
Kimoja tu kwa nguruwe watot 12Amekufa bakooora ngapi?