Simba Sports Club: It is now or never!

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,195
25,513
Mimi si shabiki wa Simba. Ni wa Yanga. Lakini, nawiwa kuwashauri watani wetu wa jadi. Nawashauri mwaka huu wakaze uzi hadi wanyakue ubingwa wa ligi kuu.

Maana, tayari wamesharudi mchangani na inasemwa kuwa wamejiandikisha kwenye Ndondo Cup wakiiacha Yanga aka wa Kimataifa wakiwa kwenye Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Mwaka huu iwe isiwe Simba awe bingwa. Maana, kwakuwa ameshatolewa kwenye FA Cup, akikosa ubingwa hatapanda ndege tena mwakani.

Simba, lindeni alama zenu mnazotuzidi ili muwe Mabingwa. Sisi Yanga sasa tumeshachoka kuwa Mabingwa kila mwaka. It is now or never!
 
DYorMhTXcAAt4xm.png:large
 
ubingwa tunaanza kuutangaza pale tunapochukua points zetu tatu, tukianza na vyura fc,
 
Back
Top Bottom