Simba sio watu wazuri aiseeee!

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,051
12,560
Jamani Simba raha ila mmenitia hasara acheni tu!

Kuna manzi wangu mmoja ananijua mimi shabiki wa Simba! Sasa alipoona matokeo ni 4-0 basi chap chap akanipiga mzinga!
Nikiwa bado akili haijatulia kwa furaha nikajikuta nimetuma na ya kutolea!

Kwakweli kwa mpira wa Leo,hii mood niliyonayo ndio yakupigiwa mzinga wa mtonyo!

Natoa na moyo mwepesi kabisaaaaa!

This is Simbaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom