Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Mechi ya Azam na yanga ilisogezwa mbele mara ngapi?.
HAO walichungulia mechi
Jina lako linaendana na pumba unazozitoa,angalia tarehe hapo utajua Yanga ilifahamishwa siku ngapi kabla ya match kama kanuni zinavyosema

20210509_011814.jpg
 
Sometimes huwa unaandika point,huwa nakuchukulia kama kijana asiyejua chochote na aliyejaa good for nothing issues

Hongera kwa hili mkuu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sasa kama huwa nakosea kwanini huwa hunikosoi? unaniogopa? hujiamini, simply umeniona mzuri leo coz nimeandika kilichokupendeza, but am always good in everything.
 
Kweli hii taarifa imesndikwa na mtu mwenye akili kweli? Nani kavunja sheria hivi wewe tamko likitoka hata kama linapingana na sheria za Fifa unatekeleza kweli kwa hili nawapongeza Yanga kwa kusimamia sheria hivi simba kwanini wasimwonye Manara kuandika barua za mihemuko hivi tuseme yeye ndio Simba halisi kushinda akina Kilomoni
 
Mkuu kumbuka Simba ni club ,ina uongozi wake na haiendeshwi na mihemuko ya klabu nyingine yoyote Ile ....

wacha kila mtu afanye kulingana na falsafa zake na wanachoona wao ni sahihi.kumbuka Simba hawakugomea suala la mabadiliko ya muda ,sasa unataka hayo maswali yako wakaulize ili iwaje?

Wao walileta team uwanjan na hakukuwa na mechi so Wana haki kudai pointi zao tatu mkuu....

Yanga ndo muulize hayo ....na viongozi wenu.
Mkuu kutowapa Simba points zao kwa kweli ni kuwaonea Bigwa huyu wa Afrika Mtarajiwa.
 
Mpira ni burudani jamani kwanini watu walumbane namna hii??

Tarehe ipangwe tena watu wakipige.

Na ole wake mtu akimbie tena.

Ila Sasa mashabiki nao waangaliwe, watunze tiketi zao kwa ajili ya next match.
 
Nadhani waliosogeza mbele, ilibidi watangulie na kutoa sababu ya kufanya hivyo. Sio kutoa tu order as if wanadeal na watoto.
Sababu si walieleza ni agizo toka serikali!?
Mmekomalia sheria kuvunjwa lakini hamdai fidia
 
Back
Top Bottom