Simba Sc yatoa taarifa kuhusu Jonas Mkude

bitebo7

JF-Expert Member
May 1, 2015
858
593
Hizi ni dalili za Mkude kuachwa
FB_IMG_1623096927855.jpg
 
Wanaenda kumpima akili wajue kama jamaa ni chizi au vipi kwasababu makosa yake yanajirudia sana.
 
Huwenda akawa na matatizo ya kisaikolojia anahitaji msaada. Kamati ipo sahihi.. hatujui alisaini nini iwapo atarudia makosa
 
Wamkimbize mirembe tena watumie mwanya huohuo kupunguza gharama apelekwe na bernad "bm 33" nae akachunguzwe
 
Kiukweli wamemuaibisha sana haya ya kumpeleka hospitality yangeenda kimya kimya tu.
 
WaTZ Bana mtu kupelekwa kwnye uchunguzi wa kiafya ni udhalilishaji kumbe
Mbona wayne na beckam walishafanyiwaga hivi kipindi flan pia umekuwa ni utartb wa simba nakumbuka miaka hiyo
 
Simba wapo sahihi.. ili utwae caf champions league lazima ubadilike.. uendeshe timu kisasa...

Enyimba waliachana na uswahili wakati wanabadilika..

Mamelodi hawana tabia za waswahili

Mazembe pia hawana tabia za waswahili

Huwezi kutaka uwe kigogo africa kwa kuendesha timu kienyeji .

Simba babra yupo very proffessional.. msimu huu wamekosea kidogo tu wavunje rekodi yao ya mafanikio.

Na hiyo kidogo ni kumdharau kaizer chiefs toka ratiba ya robo ilivyotoka.. wakaenda south kama picnic wakijua wameshapita
 
Back
Top Bottom