SIMBA SC yashinda 6-0 dhidi ya Dar City FC | ASFC | Benjamini Mkapa Stadium

Wanasimba kwa maslahi ya umma, huyu Bocco astaafishwe. Kama hajajipanga basi watuambie kabla ya kuchangia Mo Arena, ni heri tuanze kumchangia kiinua mgongo chake maana anatitia hasira na hasara. Huyo Mugalu atajuana na akina Kabila na Tshisekedi
Afadhali na Bocco ni mchezajiwa ndani.
Kuliko huyo mkabaji wa mabeki.
Nafasi nne za wazi anafunga moja.
Pumbaf kabisa Muga
 
Ikiwa ni Muendelezo Wa Hatua Ya 32 bora Kombe La Shirikisho la Azam, Leo Ni Simba Sc Vs Dar City.

Je Ni Nani Kufuzu kwenda Hatua Ya 16 Bora?. Tuwe pamoja Hapa JF kwa Live Updates kuanzia Saa Moja Kamili Jioni Ya Leo

Kikosi Cha Simba Kinacho Anza

View attachment 2101486

UPDATES:

Vikosi Vinaingia Uwanjani.

00” Mpira Umeanza Hapa Benjamini Mkapa

1” Simba Wanapata kona

2” Simba Wanapata Kona

04” Simba Wanapata Kona

05” Simba Sc 1 Dar City 0 (Meddie Kagere)

09” Simba Wanapata Free Kick

10” Simba Sc 1 Dar City 0 (Meddie Kagere)

13” Simba Sc 2 Dar City 0 (Meddie Kagere)

17” Athumani Matumbo Anaoneshwa Kadi Ya Njano

18” Simba Sc 3 Dar City 0 (Chama)

20” Dar City Wanapata Kona

21” Simba Sc 4 Dar City 0 (Rally Bwalya)

23” Simba Sc Wanapata kona

26” Simba Sc 4 Dar City 0

27” Simba Sc Wanapata Free Kick

29” Dar City Wanapata Kona 2

31” Simba Sc 4 Dar City 0

36” Simba Sc 4 Dar City 0

37” Simba Sc Wanapata Kona Ya 5

38” Simba Sc Wanapata Kona Ya 6

40” Simba Sc 4 Dar City 0

42” Juma Abdallah Anaoneshwa Kadi Ya Njano

43” Simba Sc Wanapata Kona 7

Dakika Moja Ya Nyongeza

45 +1 Simba Wanapata Kona Ya 8

Mpira ni Mapumziko.

Takwimu za Kipindi Cha Kwanza

View attachment 2101559

KIPINDI CHA PILI

Timu zinarejea Uwanjani

Simba Imefanya Mabadiriko ya Wachezaji 3, Bocco, Jimson na Wawa ametoka Enock Inonga, Bwalya na Kagere

45” Kipindi Cha Pili Kimeanza Hapa Benjamini Mkapa.

47” Simba Sc 5 Dar City 0 (Wawa)

53” Dar City wanapata Free kick

55” Dar City Wanafanya Mabadiriko Ya Wachezaji 3

60” Simba Sc Wanapata Free Kick

60” Simba wanafanya Mabadiriko Mugalu na Morrison Wanaingia Akitaoka Chama na Yusuph Mhilu

62” Simba Sc Wanapata Kona

74” Simba Sc Wanapata Kona ya 13

79” Simba Sc 6 Dar City 0 ( Mugalu)

Dakika 2 za Nyongeza

90 + 2 Kenedy Juma Anapata Kadi Ya Njano

FT SIMBA SC 6 DAR CITY 0
Halafu kuna watu wanamlaumu Pablo kutoka Madrid hana mbinu, asante Pablo kwa ushindi mnono.
 
Wamecheza na timu ya dondocup wanaachaje kushinda Sasa
 
Marehemu kapiga chafya
kabisa ila nakukumbusha tu michuano hii hii

4C053211-FE31-486C-800A-63560C85BDF5.jpeg
 
Ingetokea mmecheza na mbao kwa ule mpira wa Jana mngekuwa mmelala yooo Tena si kwa kigoli kimojaa
unatafuta pakuchekea umekosa huyo dar city na mbao wote timu za ligi daraja la kwanza
acha kujiliza liza
 
Back
Top Bottom