mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,518
- 19,883
Ukiona kumepoa humu na Simba ameshinda,Mbona humu kumepoa sana leo? Tunashinda Ushindi wa kishindo "Simba guvu moya"
Elewa utopolo mwiko unawauma Sana huko nyuma.
Ukiona kumepoa humu na Simba ameshinda,Mbona humu kumepoa sana leo? Tunashinda Ushindi wa kishindo "Simba guvu moya"
Wandugu.....Hiki Kipigo Kinarejeresha Kumbukumbu Kwamba Simba Sports Club Iliwahi Kumlambisha Mtu 6 - 0...!
Simba anashiba akinyonya?...😂😂Dar Fresh kiwanda cha maziwa chaamua kumnyonyesha simba goli sita
Hata hawa 4-1 ni level ya Dar Citykumbe huko ndio level yenu