Simba sc yaingia dili nono na Africarriers ltd

Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
43,901
150,181
CEO wa simba anazidi kuchanja mbuga na kuonesha umahiri wake katika kufikia mafanikio ya timu kwani leo simba imeingia mkataba wa milion 800 na wababe wa wauzaji wa magari Tanzania ambao utawanufaisha simba sc kupata mabasi 3 yenye hadhi ya kibingwa (GOLDEN DRAGON NEW MODEL) , baada ya kumalizana na angani sasa ni rasmi ardhini wana uhakika wa usafiri ....
Pia kampuni hiyo ya Africariers itakuwa mdhamini mkuu wa timu ya vijana ya Simba SC ya chini ya miaka 17.
1632490052158.png

1632491268428.png

1632491311010.png

1632491345483.png
 
Wajinga ndio waliwao, hao ni wahindi wanaotakatisha pesa zao kupitia Simba. Mo na wale wahindi wake ni wajanja sana.
Simba kwa sasa ni kichaka cha kutakatishia pesa
 
Back
Top Bottom