Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

KIKOSI CHA RUVU SHOOTING IKIIVAA SIMBA LEO UWANJA WA UHURU





KIKOSI
1. Bidii Husein 18
2. Abdul Mpambika 12
3. Yusuph Nguya 2
4. Damas Makwaya 20
5. Renatus Kisase 5
6. Baraka Mtuwi 15
7. Jabiri Azizi 25
8. Shabani Kisiga 10
9. Fully Maganga 28
10. Ismail Mgunda 27
11. Abdurahman Musa 17

Sub
Elias Emanuel 30
Said Madega 19
Frank Msese 16
Shabani Msala 22
Chande Magoja 21
Ayoub Kitala 7
Said Dilunga 3
 
Msimamo wa ligi ulioweka hapo ni wa uongo. Timu ya wananchi ina Point 40 na sio 37 kama inavyoonyesha kwenye post namba moja.

Either mka update page yenu ta facebook or weka nyingine.
Wana jealous mbaya hawa. Wache wapost wanachopenda na wapiga soka watapiga soka kama wanavyopenda. Jana ule ni mfano tu. Tunaendelea kuwapumulia kisogoni
 
15697527_697473597078325_1719778891230357892_n.jpg
 
DK 14, krosi safi, mpira unapigwa na kugonga mwamba. Lakini sasa kipa wa JKT yuko chini akitibiwa
 
Ruvu shooting umefanya mazoezi ya kuwinda binadamu utashindwa kummaliza mnyama wa porini ambaye ananguvu nyingi lakini akili kidogo!!!
 
Dk 30, Shooting wanafanya shambulizi kali hapa, kona. Hii ni kona ya kwanza ya Ruvu leo

Dk 26, Mo Ibarahim anaachia mkwaju mkali lakini Juhudi anadaka kwa ustadi mkubwa hapa

Dk 20, Ruvu wanaonekana kuwa na kasi zaidi na kuanza kushambulia kwa kasi zaidi
 
Dahhhhhhh Simba wanatakata hapa. Wanapata faulo nje kidogo ya 18 hii Inaitwa faulo ya Refa full mbeleko
 
Back
Top Bottom