Irenga JF-Expert Member Dec 14, 2015 2,414 1,614 Nov 20, 2020 #6 Hahaha kawaida yao hata Logo mpya walinakili
Mr_X JF-Expert Member Aug 27, 2015 1,170 2,336 Nov 20, 2020 #8 Kurzweil said: View attachment 1630431 View attachment 1630433 Click to expand... Naona wamecopy hadi kipande cha ramani ya London
Kurzweil said: View attachment 1630431 View attachment 1630433 Click to expand... Naona wamecopy hadi kipande cha ramani ya London
Mark mod JF-Expert Member Mar 10, 2019 291 550 Nov 20, 2020 #11 Kuiga kitu kizuri huwa ni jambo linaonyesha unajitambua.Sema katika jezi ya simba kitu kinachonikera ni hiyo MO EXTRA imekaa ki dwanzi sana.
Kuiga kitu kizuri huwa ni jambo linaonyesha unajitambua.Sema katika jezi ya simba kitu kinachonikera ni hiyo MO EXTRA imekaa ki dwanzi sana.
K kibaravumba JF-Expert Member Dec 21, 2012 6,635 7,005 Nov 20, 2020 #13 Aliyebuni hayo maandishi ya mo xtra ndiye kachafua jezi kabisa. Mo pamoja na utajiri ila hajajua brand ni pamoja na umaridadi wa maandishi,color ndiyo baadae taste Mark mod said: Kuiga kitu kizuri huwa ni jambo linaonyesha unajitambua.Sema katika jezi ya simba kitu kinachonikera ni hiyo MO EXTRA imekaa ki dwanzi sana. Click to expand...
Aliyebuni hayo maandishi ya mo xtra ndiye kachafua jezi kabisa. Mo pamoja na utajiri ila hajajua brand ni pamoja na umaridadi wa maandishi,color ndiyo baadae taste Mark mod said: Kuiga kitu kizuri huwa ni jambo linaonyesha unajitambua.Sema katika jezi ya simba kitu kinachonikera ni hiyo MO EXTRA imekaa ki dwanzi sana. Click to expand...
L Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Nov 26, 2018 2,903 5,993 Nov 20, 2020 #14 Hapo mbona fresh tu. Soka lenyewe tumeiga kutoka huko Asia na Ulaya leo jezi ndo iwe nongwa! Au soka lilianzia Afrika? Hayo maandishi yenyewe ya Young Africans mmeyaandika kwa lugha isiyo yenu, kama vipi mngayaandika kwa Kitindiga.
Hapo mbona fresh tu. Soka lenyewe tumeiga kutoka huko Asia na Ulaya leo jezi ndo iwe nongwa! Au soka lilianzia Afrika? Hayo maandishi yenyewe ya Young Africans mmeyaandika kwa lugha isiyo yenu, kama vipi mngayaandika kwa Kitindiga.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Jul 4, 2016 21,125 24,062 Nov 21, 2020 #18 DullyJr said: Jezi kali sana, wanauzaje hii? Click to expand... Nawewe unavaa utopolo? Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
DullyJr said: Jezi kali sana, wanauzaje hii? Click to expand... Nawewe unavaa utopolo? Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
gachacha JF-Expert Member Jul 12, 2015 2,581 3,928 Nov 21, 2020 #20 Acha wacopy tutanunua tuu, mbona magari, simu, mabati ni sare sare, Jezi ni nguo ya kuvaa mara moja moja tu tena kipindi cha mpira muwe sare na sio mapambo ya nyumbani
Acha wacopy tutanunua tuu, mbona magari, simu, mabati ni sare sare, Jezi ni nguo ya kuvaa mara moja moja tu tena kipindi cha mpira muwe sare na sio mapambo ya nyumbani