Simba sc vs Young Africans fc the largest derby in the whole of Africa

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,977
78,854
Lets compare today's 2 matches

Gor Mahia vs AFC Leopard

vs

Simba vs Yanga

JPM in the house

MY TAKE
Middle income mnatuangusha aisee! kelele zoote za "Mashemeji derby" inabaki lip service twitter kama kawaida yenu halafu uwanjani empty seats! wakati "Kariakoo Derby" ni full watu wamejaza viti vya uwanja! Mkiambiwa Dar es salaam haina mpinzani hapa EA mnaanza kubisha!

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
 
Leo wakenya walikuwa wanakimbia kwenye mbio za Beyond Zero Marathon ya First Lady Margret Kenyatta. Barabara 7 zimefungwa jijini Nairobi.
maxresdefault.jpg
Kiingilio 46,000tzshs na 60,000tzs kwa elite race. Corporate kiingilio ni KES 150,000(sijui hiyo kwa hela ya madafu itakuwa ni shilingi ngapi.) Yote kwasababu ya charity na kumpa support First Lady na kampeni yake ya Beyond Zero, inayohusu huduma bora za afya kwa watoto. MK254 hebu tuletee ripoti kutoka kwa ground.
 
Kwa uwingi ninaouona hata participant 1000 hawakufika! BTW we r talking of football successful raising activities r plenty in Tanzania! Hide ur stupidity!
 
Derby that exists on papers,No skill,No football artistry,Nothing,TastelessTanzania is one of the poorest playing soccer Nations in the world
 
Kwa maoni yangu..Tz derby iko mbele..Wachezaji waendelee kujiamini anavyo wahimiza JPM..Tumeona mchezaji wa kwanza Tz kuichezea EPL, pia awamu hii ndio ya kwanza kupeleka timu AFCON.
Yajayo yanafurahisha
 
Leo wakenya walikuwa wanakimbia kwenye mbio za Beyond Zero Marathon ya First Lady Margret Kenyatta. Barabara 7 zimefungwa jijini Nairobi.
maxresdefault.jpg
Kiingilio 46,000tzshs na 60,000tzs kwa elite race. Corporate kiingilio ni KES 150,000(sijui hiyo kwa hela ya madafu itakuwa ni shilingi ngapi.) Yote kwasababu ya charity na kumpa support First Lady na kampeni yake ya Beyond Zero, inayohusu huduma bora za afya kwa watoto. MK254 hebu tuletee ripoti kutoka kwa ground.

Naona ni ule mwendo wa kupimana urefu wa vibamia, watu wanasahau sisi huwa hatusindikwi kwenye aina moja ya mchezo, ilibidi tugawane maelfu tukimbie riadha ambazo zenyewe tulikua tunalipa 2,000Kshs kila mmoja, hiyo kwa pesa madafu ni Tsh 50,000
Na bado kuna hafla kama hizi nyingi zinakuja na tutakimbia kwenye zote, kawaida huko Tanzania huandaa hizi mbio, ila wenyewe kwa walivyo wazembe na wabahili, wachache ndio hushiriki, lakini wageni wakiwemo Wakenya ndio tunakwenda huko kujaza jaza na pia kunyakua ushindi wote.
 
Kwa uwingi ninaouona hata participant 1000 hawakufika! BTW we r talking of football successful raising activities r plenty in Tanzania! Hide ur stupidity!
Hasira za nini jombaa? Umetumia hiyo picha moja kuhesabu wote walioshiriki? :D Mwaka huu wameshiriki wengi zaidi ya mwaka jana ambapo kulikuwa na participants 20,000 na KES 250million zikaokotwa kwa siku moja! Hebu stats za mwaka huu zikitoka nitazileta humu. Hii ilikuwa 2019.
BDF5943A-E17F-4C31-8CC7-272C2829422D.jpeg
 
Back
Top Bottom