Simba SC: Tulikuwa na nia kumwacha Thadeo Lwanga sababu ya majeraha. This is foolish!

Action and Reaction

JF-Expert Member
Oct 16, 2021
1,355
1,411
Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho wa mwezi huu (January)” amesema Ahmed Ally.

Yaani wenzenu wanapeleka wachezaji wao kutibiwa nchi za nje kwa gharam kubwa.... nyie mnawatema, kweli timu yangu haiwajali wachezaji wake Wanawashinda Azam na Yanga aisee!

Kwahiyo huyo Kanote ndo mbadala wa Lyanga, haingii hata nusu, kazi kupepesuka miguu tyu! Nasema Kanote tumepigwa....... yaani anashindwa na Mkude daaa!

Manara alikuwa sahihi kusema "timu inaacha wachezaji wake wazuri kisa majeraha"
 
Hii habari nimeiona Jana nikaipuuza. Lakini sasa naanza kuamini Ahmed Ally ni kimeo. Jambo kama hili hata kama lipo unaliacha jikoni siyo la kutoa nje maana linaharibu image ya timu. Hivi wachezaji wanajisikiaje wakisikia wanaachwa kwenye usajili mara tu wanapoumia?
 
Kwani YACOUBA SOGNE bado yupo Yanga?
Club ya Yanga ilimpeleka Tunisia kwaajili ya matibabu
IMG_20220120_162319.jpg
 
Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho wa mwezi huu (January)” amesema Ahmed Ally.

Yaani wenzenu wanapeleka wachezaji wao kutibiwa nchi za nje kwa gharam kubwa.... nyie mnawatema, kweli timu yangu haiwajali wachezaji wake Wanawashinda Azam na Yanga aisee!

Kwahiyo huyo Kanote ndo mbadala wa Lyanga, haingii hata nusu, kazi kupepesuka miguu tyu! Nasema Kanote tumepigwa....... yaani anashindwa na Mkude daaa!

Manara alikuwa sahihi kusema "timu inaacha wachezaji wake wazuri kisa majeraha"

Mkuu sio hilo tuu na Kulogana Kupo hapo ....Unaweza Kulogwa ukawa Hupangwi au Majeruhi au Huelwani na Coach...Wapunguze Tuu Uchawi
 
Nakubaliana na hilo, wenzetu wanatumia uchawi kwenye mafanikio na utajiri, ila sisi tunatumia kuumiza wengine, kuna washenzi flan pale simba ni wachawi wakubwa wa kuwaloga wachezaji wenzao, hua nashangaa sana, ndio waliwaloga fraga mchezaji mzuri kabisa, wakamloga kotei, na sasa thadeo na wote ni wachezaji wazuri
Sasa mkuu unataka kusema Mkude ni mchawi?
 
Back
Top Bottom