Simba SC tafadhali muonyeni upesi Nahodha John Raphael Boko aache Kuwaumiza akina Mugalu na Kagere kwa Miba (Ndumba)

Na kule Yanga ni nani anayewapiga misumari wenzake?.

Simba hata wakicheza viungo watupu mbona magoli yapo. Boko na Kagere umri umesogea, hakuna misumari wala uchawi. Simba ifikirie kutafuta mbadala wao toka Bayern
 
Kaseke, Mnata na Makapu ni balaa mno.
 
Kama uchawi ungekua unasaidia Sumbawanga wangekuwa na timu ligi kuu achilia mbali kuchukua ubingwa wa VPL na CAF.
We jamaa unajitia mjuaji wa kila kitu acha kuwachonganisha wachezaji kisa upumbavu wako.
 
Tupe ushahidi wa kuthibitisha hilo unalolisema, vinginevyo acha ujinga, kila siku uchawi uchawi ndio maana hamuwezi kuendelea. Very stupid.
 
Back
Top Bottom