Kusema Kuna lolote linaweza kuikuta Simba sidhan kaka.
Kwanza kesi yenyewe haileweki, waandishi wa habari wameripoti kutoka kwenye tangazo la Yanga lakini kwenye mtandao wa CAS kesi haipo.
Mwaka huu mwanzoni Yanga walisema wamepata barua kutoka CAS kwamba utetezi wa Morrison hauna mashiko hivyo wamelipa hela yao na pia wamemlipia Morrison ili kesi ipangiwe Jaji. Kwenye taarifa ya juzi Yanga wamekuja na lingine kwamba Morrison aliweka pingamizi CAS. Sasa taarifa ya ukweli ni ipi ile ya January au hii. Hapa Kuna janja janja tu
Mwisho Morrison aliwekwa huru na TFF hivyo Kama ni rungu la FIFA basi litaenda kwa tff ambapo ligi inaweza kufutwa. Sioni Yanga Kama wanaweza kukata tawi ambalo hata wao wamekalia.