Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

Hivi mna mashabiki wa namna hii kweli huko upande wenu?

Maaana mtu na akili zake hawezi iandika jezi yake ilo jina.
Maumivu yako yakoje ulipoona jina kapumbu kwenye jersey ya mnyama simba?
 
Nani kasema kufanya friendly match ni jambo la msingi kwa timu kubwa.?

Tumia walau asilimia 25 ya mental strength yako, utagundua kuwa kila aliwazalo mjinga ndilo linalo mtokea.
Mkimanuliwa msipige mayowe kwani hamna akili
 
Yaani jezi zenu zote 3 zimekopiwa. ukianza na ille white mmechukua Tunisia.

Halafu ile nyekundu mmeiga sleeves za Yanga.

Hii nayo Fred kachukua texture kutoka kwenye template za Adidas store akazibandika.
Kwani mna ubia na viwanda vya materials za nguo?
 
Ona midosho yenu yenye minembo ya kubandika na gundi

Jez.jpeg
 
Back
Top Bottom