Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

kilichotoka mapumnziko
Unazungumzia kikosi kipi? Kile ambacho kwenye mechi 2 za ligi kimepigwa mechi moja na kutoa sare mechi moja dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara.?
 
Unazungumzia kikosi kipi? Kile ambacho kwenye mechi 2 za ligi kimepigwa mechi moja na kutoa sare mechi moja dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara.?
Nimeangalia tena msimamo wa ligi, nikagundua kuwa kila timu ilicheza mechi 34, na sio mechi 2 kama ulivyosema 😁
 
Nimeangalia tena msimamo wa ligi, nikagundua kuwa kila timu ilicheza mechi 34, na sio mechi 2 kama ulivyosema 😁

Kama mechi 2 hazima umuhimu wowote kwenye msimamo wa ligi basi vivyo hivyo Uzi huu hautokuwa a umuhimu wowote kwenye mechi ya Rivers United.
 
Mabingwa mara 27 wa Kihistoria. Unasema habari gani kuhusu Ubingwa eti.?
Ndio mlichobakiza kwa Sasa...ngojeni msimu ujao tuendelezee ubabe na nyie endeleeni kuikumbatia hiyo historian.
 
Mwisho vita akaishia wapi na simba akafika wapi? Akili za uto ndio hizi
Tunachijua sote ni kuwa nyote hamkuchukua ubingwa wa CAFCL. Ila mwenzako aliwahi kuchukua mwaka 1973.
 
Umempatia huyu utopolo
Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu FC.

Mr Nice ni tajiri? Nani alipima utajiri wake enzi hizo? Na alitumia kipimo gani kupima Utajiri wake?

Isijekuwa ndio wifi yake jamaa yako huyo.
 
Simba walianzisha Simba day halafu nyie mkaja na siku ya mwananchi halafu bila aibu unasema Simba inakosa ubunifu kwa kuwaiga utopolo
 
Jezi ya mikia iliyotoka juzi tu hapa leo ishachanika!

20210905_174656.jpg
 
Back
Top Bottom