Simba SC: Kuwakabili Ruvu shooting uwanja wa Taifa

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,688
5,446
Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni.

Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na wakusisimua.

Kwa watakao kwenda uwanjani viingilio ni kama ifuatavyo:
1.MZUNGUKO elfu 5000
2.VIP B elfu 10000
3.VIP A elfu 15000

Utabiri wangu kulingana na ubora wa vikosi vyote viwili, Simba ataibuka na ushindi usiopungua magoli matatu.
Simba_Sports_Club_on_Instagram:_“Baada_ya_kukosa_burudani_kutoka_kwa_makamanda_wetu_kwa_muda_m...jpg
 
Back
Top Bottom