Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,095
- 4,059
- Thread starter
- #41
Manager wa Be Sports hayupo offisini toka dakika ya 6 ya mchezo. Mlangoni pameandikwa temporary closed.Mnaendeleaje huko be sport
Manager wa Be Sports hayupo offisini toka dakika ya 6 ya mchezo. Mlangoni pameandikwa temporary closed.Mnaendeleaje huko be sport
Mm sijawahi kula hela ya kubet kwa utabiri wa Be Soccer maana hawajawahi kufauluSijawai kuona utabiri mbovu kama huu.
Chukua kopo uwahi maliwatoniBe Sports wameonyesha utabiri wa Simba kupoteza mechi ya leo.
Najua Yanga wataisapoti analysis hii na Simba fans wataiponda na hii ndio raha ya mpira duniani
View attachment 1977375
Uto hawana hadhi hiyoHivi mbona hii Azam wameonesha ila Ile ya UTO Nigeria hawakuionesha?
Tumia pro soccerMm sijawahi kula hela ya kubet kwa utabiri wa Be Soccer maana hawajawahi kufaulu
umetishaSimba anashinda 2 bila, take my words.
Mbona predict yao wanafeli san?Tumia pro soccer
Mkuu ongeza na maarifa yako, wao ni kina nani wafaulu mechi zote?Mbona predict yao wanafeli san?