Simba SC hii Logo mmebuni au mmekwapua sehemu?

Hayo si ndio moja ya mabadiliko yenyewe.
Suala la mabadiliko sina shida nalo shida ipo kwenye creativity

Angali jinsi Chelsea FC walivyobadili Logo yao | Ubunifu na Ubora ulionekana wazi

1597411683885.png
 
Bora na wewe umewaambia huku jf, nimewaambia fb nimeshambuliwa na wanaojulikana,hiyo alama ya simba copy na kupaste. Log inatofautisha Kati ya timu ya MO na timu ya wanachama. Wanachama nguvu tena, chezea MO wewe. Sijui kama kawashirikisha, wakiitaka timu yao watairudisha log yao ya mwanzo.
 
Bora na wewe umewaambia huku jf, nimewaambia fb nimeshambuliwa na wanaojulikana,hiyo alama ya simba copy na kupaste. Log inatofautisha Kati ya timu ya MO na timu ya wanachama. Wanachama nguvu tena, chezea MO wewe. Sijui kama kawashirikisha, wakiitaka timu yao watairudisha log yao ya mwanzo.
Pole sana Mkuu
 
Ha aha aha haya bwana naona unacomment kwa hisia kali
Ha ha ha ha HAPANA mimi nilikuwa nazungumzia hiyo "kucopy na kupaste" as concepts. Si lazima hivyo vifanane!? Ndiyo maana kuna wakati mmchinga mmoja alikuja na jezi zinazofanana na za Young Africans Sports Club (YANGA) LAKINI yeye akaziandika Young Africans Football Club. Hapo alicopy na kupaste au alifanya nini!?
 
Tatizo ujuaji mwingi,hii tu inaweza kutuweka kwenye matatizo.Logo zenye picha ya Simba zipo nyingi duniani,na kila moja inamaana yake,mbaya zaidi hii inaonekana kabisa imesajiliwa...akipatikana mwanasheria wa kuchunguza fursa akawatafuta hawa jamaa akaja na ushahidi imekula kwetu.COSOTA ni mwanachama wa Copywriters Duniani,lengo ni kulinda kazi za ubunifu,lolote linaweza kutokea..100M na kuendelea inawahusu kwa kukwepa 2M ya creative director/designer
Kaka walikunyima kazi nini
 
Hizo logo huwa zinauzwa, kuna uwezekano wamelipia ndio maana ikaondolewa hiyo watermark
 
Hapo kwenye mabadiliko ya Logo watakuja ibiana hawa. Kuna watu wataibuka na SIMBA ASILI na wengine watadai hii ni yao binafsi
 
Habari wanaJF,

Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine.

Je hii haiwezi kwaletea shida kwa janja janja hii?

Hiyo logo hakuna chochote kilichofanyika zaidi ya watu kubuni mbinu za kupiga pesa za mo tu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom