Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,175
- 22,576
hii ndio tafsiri ya makolo yasiyo na akili yakiongozwa na liongo li genta..
Malalamiko FC
Malalamiko FC
mkuu mbona unapoteza muda kubishana na zuzuWaulize watu wa clearing and fowarding au watu wanaofanyakazi na TRA watakupa elimu nini maana ya system down.
Maana si kwa umbumbumbu huu, hao N card kwamba hawataki pesa? Hivi kwamba hujui hata JF huwa inakuwa down mpaka kwa siku 3 hadi wiki?
Ndo iwe down kwa Simba tu! Is it coincidence au conspiracy?Waulize watu wa clearing and fowarding au watu wanaofanyakazi na TRA watakupa elimu nini maana ya system down.
Maana si kwa umbumbumbu huu, hao N card kwamba hawataki pesa? Hivi kwamba hujui hata JF huwa inakuwa down mpaka kwa siku 3 hadi wiki?
Mara hii mmesahau mmevunja na kuruka fence kwenye siku ya mwananchi?Naona simba wameanza kujitetea mapema tyu
kama wameshapewa pesa ili wasiitafute, kwa nini wasiishushe system?... hao N card kwamba hawataki pesa?
Basi fungulieni milango bure muone utakavyo jaa.Simba SC walie na Waziri Mmoja aliyekuwa na Timu yake Mkoa wenye Kuku wengi Tanzania.
Simba SC walie na Katibu Mkuu Mmoja wa Wizara ambayo hata Mbwana Samatta anawajibika nayo.
Hawa Viongozi Wawili ( ambao ni Yanga SC lia lia ) kwa Kushirikiana na Mstaafu Mmoja Kikatiba ndiyo wanaishurutisha N-CARD kufanya Hujuma hii kwa Simba SC ili tu ikose Mapato Makubwa na Simba Day ya Jumapili ( Keshokutwa ) Uwanja usijae ili Watucheke na Yanga SC yao ibakie na Rekodi ya Kuujaza Uwanja katika Tamasha lao la Siku ya Wananchi.
Mightier nikija na Mada huwa naziamini.
Taarifa kama haijashiba vizuriViongozi wa Simba na wasimamizi wa mfumo wa tiketi za kielektroniki N-Card, wamekubaliana kutoa kadi nyingine tofauti kwa ajili ya watu kuingia uwanjani kwenye Tamasha la Simba Day. #SimbaDay2021 #NguvuMoja View attachment 1942268
Jamaa anafigisu mpaka kwenye Mpira, Madeluuu sio poa kabisa..Madeluuu sio Poa
Mashabiki wenzio wa mbumbumbu fc umesahau akili zao?huyu kaandika manini?