Ghazwat JF-Expert Member Oct 4, 2015 23,718 66,262 Apr 27, 2021 Thread starter #43 Wakati wowote mpira utaanza uwanja wa Mkapa. Naaaam mpira umeanza ni vita vya VPL Simba SC dhidi ya Dodoma Jiji FC. Simba SC 0-0 Dodoma Jiji FC
Wakati wowote mpira utaanza uwanja wa Mkapa. Naaaam mpira umeanza ni vita vya VPL Simba SC dhidi ya Dodoma Jiji FC. Simba SC 0-0 Dodoma Jiji FC
Lee JF-Expert Member Jul 31, 2013 43,905 150,212 Apr 27, 2021 #44 Chama... nyoni... wawa ... chama ...nyoni anapoteza nje
Ninja assasin JF-Expert Member Jul 2, 2018 2,373 5,584 Apr 27, 2021 #45 Tushamaliza mechi tunasubil kuona ni ngap tu
Shunie JF-Expert Member Aug 14, 2016 152,998 453,871 Apr 27, 2021 #48 Carlos The Jackal said: Mnyama kama Mnyama Click to expand... Kwenye ubora wake uleule
Lee JF-Expert Member Jul 31, 2013 43,905 150,212 Apr 27, 2021 #55 Dakika ya nne simba wanakaribia kupata goli
Lee JF-Expert Member Jul 31, 2013 43,905 150,212 Apr 27, 2021 #56 Touches za Mugalu sio rafiki kwa hizi dk 5
Al Watani JF-Expert Member Dec 28, 2014 20,509 30,558 Apr 27, 2021 #60 Mailman said: Binafsi napenda sana kumwona Morrison akicheza, bahati mbaya hapati airtime ya kutosha. Click to expand... Playing time
Mailman said: Binafsi napenda sana kumwona Morrison akicheza, bahati mbaya hapati airtime ya kutosha. Click to expand... Playing time