Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Hakuna aliyeumia ila tunawasikitikia azam wanavouza mechi
Hivi Azam shida ni kuuza mechi au magolikipa wabovu? magoli waliyofungwa Azam yanaleta maswali mengi sana, hata magolikipa wa ndondo cup hawafungwi magoli mepesi kiasi hicho.
 
Hivi Azam shida ni kuuza mechi au magolikipa wabovu? magoli waliyofungwa Azam yanaleta maswali mengi sana, hata magolikipa wa ndondo cup hawafungwi magoli mepesi kiasi hicho.
Ukishajua kuwa mabosi zao nao wana kadi za simba basi hatujiulizi tena,
Upigaji wa wazi wazi
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom