Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Ahadi kwa dodoma jiji dhidi ya ssc.
1. Ushindi 15 ml
2. Droo 10 ml
3. Kumvunja mchezaji wa simba 5 ml.
Shida umeanza kushangilia juzi mpira kmc alipewa m20 na makonda (unajua alikuwa shabiki wa timu gani) waliofungwa yanga unajua ilikuwaje kaulize

Hadi leo haji manara anasema anajua figisu mlizotumia kuchukua ubingwa (achana na mbeleko za TFF, na viporo)
 
Hongera kwa kuliona hilo, yanga ni kisanga dhidi ya Dodoma Jiji, mbeya kwanza etc.
Hahahhahaha mi naona safari ya ubingwa ipo wazi zaidi kwa Yanga kuliko kwenu kumbuka bado mna mechi za kimataifa na kuna swala la majeruhi ohooo!! Na usisahau misimu miwili yote iliyopita hamjatufunga kwenye ligi.. Na hao kina Dodoma jiji na mbeya kwanza ndo walikua wanatutesa sasa kama tunawamudu it means ubingwa uleeeeee...
 
Hilo linawezekana pia, tusubiri muda uongee
 
Back
Top Bottom