3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,882
1. Hiyo UD Songo kumtoa Simba ina uwezo kuliko Simba?Mimi hoja yangu ni kubahatisha. Hiyo Simba iliyomtoa Zamalek mwaka 2003 ilimtoa Zamelek kwavile Simba walikuwa na uwezo mkubwa kuliko Zamalek?
ili Simba ionekane haikubahatisha toa takwimu ya kufanya vizuri kila msimu unaofuatia baada ya kufikia hatua fulani ya mafanikio.
Kuhusu usajili, Simba ilifanya usajili na kisha kutokana na aina ya usajili uliofanywa tukaambiwa safari hii Simba itafika hatua ya nusu fainali.
Wachezaji wa kimataifa
1. Tairone Santos da Silva
2.Gerson Fraga
3.Wilker da Silva
4.Shiboub
5.Deo Kanda
6. Kahata
2. Unajua maana ya kuboresha kikosi kweli wewe..? ANATOKA
Okwi
Gyan
Kwasi
Kotei
Zana
Halafu unasema waliboresha kikosi kweli uko sawa wewe?
Timu inayocheza MECHI 10 ZA CAF INASHINDA MECHI 6 unasema Imebahatisha..
TIMU 8 BORA AFRIKA amebahatisha? (kichwani uko sawa wewe)
Tumia akili toa UYANGA Kichwani kubali kuwa Simba alikuwa vizuri.