Simba na Yanga zitaweza ushindani wa Afrika? Al Ahly imemuajiri kocha wa Mamelodi, Mosimane kwa mshahara wa Dola za Kimarekani 120,000 kwa mwezi

Ndio maana hukuwahi kusikia kombe moja limebebwa na timu mbili.

Habari za kubahatisha mbona Azam fc na uwekezaji wote hajawahi kufanya lolote?

Simba amewahi kucheza fainal Shirikikisho CAF.., VIPI YANGA na hao unaowataja mnahistoria gani?
Kwahiyo unataka kusema Azam wanafeli kwasababu ipi? Maana umesema kuwa Azam wamefanya uwekezaji mkubwa ambapo hata Simba pia wamefanya uwekezaji pia. Haya nipe tofauti zao kwanini Azam wanafeli pamoja na kufanya uwekezaji?
 
We ulitaka nani atoke hiyo hatua..?
Mpira ni mistake ukikosea unaadhibiwa.. Ila haiondoi ubora wake nakusema ALIBAHATISHA
1.) Kwahiyo unakataa kuwa kwenye mpira hakuna bahati kuwa upande wa timu?
2. Unaposema Mpira ni mistake, timu ikifanya mistake haiondoi ubora wake. Unaweza kuniambia ni kwanini msimu wa nyuma hakukuwa na mistake hizo hadi mkafika hatua ya robo fainali?

3) Unaposema Mpira ni mistake, na timu ikiadhibiwa kwa kufanya mistake haiondoi timu iliyoadhibiwa ubora wao. Hapo hauoni kwa kauli hii inaonesha kabisa hii timu iliyoiadhibu timu iliyobora, imebahatisha tu kumfunga?
 
Mechi ile ilikuwa mbovu sana na mpira uliichezwa ulikuwa ni wa hovyo sana. Ni kama Yanga wacheze na TX Prisons, what do you expect. Niliikumbuka burudani ya Simba na Ihefu kuliko kuangalia mechi ya Waarabu wale.
 
Marudiano yamechezwa leo.. al ahly kashinda tena 3-1.. mosimane halipwi hela nyingi sababu ya kanzu na matobo.. analipwa hela nyingi sababu ya falsafa yake ya ushindi tu ama mpira wa matokeo na kutwaa makombe
 
Sasa hapo Kuchanganya Mnyama na vyura umekosea sana...! We ungeuliza tu Simba itaweza kushindana na Al ahly ? We timu mwaka wa nne huu haijaonekana kimataifa kwa nguvu zake
Labda kwa kubebwa unaichanganyaje na Simba ?
Huu ujinga ndio hua unawaponza sasa Simba ina kipya gani tofauti ni kelele tu?
 
1.) Kwahiyo unakataa kuwa kwenye mpira hakuna bahati kuwa upande wa timu?
2. Unaposema Mpira ni mistake, timu ikifanya mistake haiondoi ubora wake. Unaweza kuniambia ni kwanini msimu wa nyuma hakukuwa na mistake hizo hadi mkafika hatua ya robo fainali?

3) Unaposema Mpira ni mistake, na timu ikiadhibiwa kwa kufanya mistake haiondoi timu iliyoadhibiwa ubora wao. Hapo hauoni kwa kauli hii inaonesha kabisa hii timu iliyoiadhibu timu iliyobora, imebahatisha tu kumfunga?
Unajua wewe unapokomalia bahati bila uwezo ndio nakataa..
Huwezi kuwa na bahati toka MECHI ya MBAMBANE, NKANA= Mechi 4 (nje+ndani)

MAKUNDI mechi 6 (nje+ndani) tena kundi haswaa sio mchezo.

Hapo ni mechi 10, Simba anashinda game 6 kabla ya QFINAL.
... Bahati iko wapi hapo?
 
Hiyo robo fainali ya msimu mmoja hatulali mnasema simba yupo level sawa na mazembe na al ahly... niambie lini mazembe ama al ahly ameshawai kutolewa hatua ya awali

Hizo timu mnazojifananisha nazo hazibahatishi zinafika stage ya robo fainali na zaidi akila msimu.. huwa hazitolewi hatua ya awali na vitimu kama ud songo .. wabahatishaji robo mmefika mara moja tu
 
Kwahiyo unataka kusema Azam wanafeli kwasababu ipi? Maana umesema kuwa Azam wamefanya uwekezaji mkubwa ambapo hata Simba pia wamefanya uwekezaji pia. Haya nipe tofauti zao kwanini Azam wanafeli pamoja na kufanya uwekezaji?
Azam hawana wachezaji wenye uzoefu na mashindano makubwa.

Siku wakiwa makini kwenye usajili na uchezaji wao hata VPL watabeba mno
 
Hiyo robo fainali ya msimu mmoja hatulali mnasema simba yupo level sawa na mazembe na al ahly... niambie lini mazembe ama al ahly ameshawai kutolewa hatua ya awali

Hizo timu mnazojifananisha nazo hazibahatishi zinafika stage ya robo fainali na zaidi akila msimu.. huwa hazitolewi hatua ya awali na vitimu kama ud songo .. wabahatishaji robo mmefika mara moja tu
Simba hajafikia na Haitaweza kufikia level za TP MAZEMBE au AL AHLY.

Usichukue maneno ya HAJI ukatembea nayo bila uhalisia mkuu.

Simba amewahi kucheza fainali ya SHIRIKISHO CAF, Unaposema Alibahatisha acha nikukubalie kwakuwa Yanga hana bahati hiyo.

Kuna Siku Yanga atachukua Ubingwa CAF SHIRIKISHO na washabiki wa Simba watasema wamebahatisha tu..(ndio wabongo tulivyo)
 
Ndio ukweli.. simba fainali kacheza mwaka gani.. na baada ya hiyo fainali alifika hatua gani kila mwaka.. tuone consistency ya simba katika mashindano hayo ya caf.. weka hatua ambazo simba kafika katika mashindano caf kila msimu kwa misimu 10 ama 20 iliyopita.. tuone kama huwa habahatishi
 
1974 Aliingia makundi

Amecheza fainali 1993.

2003 Alimtoa bingwa Zamalek hatua ya awali na kuingia Makundi.

2018 Amefika Robo fainali

Hizi ndio hatua kubwa alizowahi kufika Simba.
 
Kweli mpo level sawa na mazembe..maana mkifika stage fulani inapita 19 yrs ndio mnafika tena.. kisha inapita 15 yrs ndio mnafika tena... hapo tukisema mnabahatisha mnabisha ?

Kwa hiyo robo mliofika 2018.. inabidi tusubiri tena miaka kibao.. ndio mnafika tena ingine..

Haya weka ya mlionao level moja kina mazembe last 10 yrs stage alizofika kila msimu .. husiruke hata msimu mmoja... tuone kama mnabahatisha ama hambahatishi
 
Unajua wewe unapokomalia bahati bila uwezo ndio nakataa..
Huwezi kuwa na bahati toka MECHI ya MBAMBANE, NKANA= Mechi 4 (nje+ndani)

MAKUNDI mechi 6 (nje+ndani) tena kundi haswaa sio mchezo.

Hapo ni mechi 10, Simba anashinda game 6 kabla ya QFINAL.
... Bahati iko wapi hapo?
Kama ni uwezo kwanini msimu uliyofuata hamkuweza kufikia hatua ukizingatia kocha ni yule yule aliyewapa mafanikio na kikosi kikaboreshwa zaidi kwa usajili mkubwa zaidi
 
Kweli mpo level sawa na mazembe..maana mkifika stage fulani inapita 19 yrs ndio mnafika tena.. kisha inapita 15 yrs ndio mnafika tena... hapo tukisema mnabahatisha mnabisha ?

Kwa hiyo robo mliofika 2018.. inabidi tusubiri tena miaka kibao.. ndio mnafika tena ingine..

Haya weka ya mlionao level moja kina mazembe last 10 yrs stage alizofika kila msimu .. husiruke hata msimu mmoja... tuone kama mnabahatisha ama hambahatishi
Asante mkuu, wewe umenielewa nachokimaanisha ila jamaa kawa mbishi anakazania tu kuwa uwezo uwezo na sio bahati nasibu wakati ukiangalia msimu unaofuata wanashindwa kufikia hatua waliyoishia
 
Kweli mpo level sawa na mazembe..maana mkifika stage fulani inapita 19 yrs ndio mnafika tena.. kisha inapita 15 yrs ndio mnafika tena... hapo tukisema mnabahatisha mnabisha ?

Kwa hiyo robo mliofika 2018.. inabidi tusubiri tena miaka kibao.. ndio mnafika tena ingine..

Haya weka ya mlionao level moja kina mazembe last 10 yrs stage alizofika kila msimu .. husiruke hata msimu mmoja... tuone kama mnabahatisha ama hambahatishi
Weka ushahidi wapi nimesema Simba ni level ya Mazembe halafu tuendelee.

(usinichoshe)
 
Kama ni uwezo kwanini msimu uliyofuata hamkuweza kufikia hatua ukizingatia kocha ni yule yule aliyewapa mafanikio na kikosi kikaboreshwa zaidi kwa usajili mkubwa zaidi
Taja huo usajili mkubwa ulioboresha kikosi...

Hivi mwenye uwezo hatolewi sio... Zamalek akiwa bingwa alitolewa na Simba Hatua ya awali 2003.
 
Kweli mpo level sawa na mazembe..maana mkifika stage fulani inapita 19 yrs ndio mnafika tena.. kisha inapita 15 yrs ndio mnafika tena... hapo tukisema mnabahatisha mnabisha ?

Kwa hiyo robo mliofika 2018.. inabidi tusubiri tena miaka kibao.. ndio mnafika tena ingine..

Haya weka ya mlionao level moja kina mazembe last 10 yrs stage alizofika kila msimu .. husiruke hata msimu mmoja... tuone kama mnabahatisha ama hambahatishi
Ebu weka rekodi za Yanga.. Za Simba nimetoa mimi.

Halafu unionyeshe wapi nimesema Simba ni level ya Mazembe
 
Kweli mpo level sawa na mazembe..maana mkifika stage fulani inapita 19 yrs ndio mnafika tena.. kisha inapita 15 yrs ndio mnafika tena... hapo tukisema mnabahatisha mnabisha ?

Kwa hiyo robo mliofika 2018.. inabidi tusubiri tena miaka kibao.. ndio mnafika tena ingine..

Haya weka ya mlionao level moja kina mazembe last 10 yrs stage alizofika kila msimu .. husiruke hata msimu mmoja... tuone kama mnabahatisha ama hambahatishi
Weka hapa ushahidi nilosema Simba ni level ya Mazembe

(usinichoshe mkuu)
 
Taja huo usajili mkubwa ulioboresha kikosi...

Hivi mwenye uwezo hatolewi sio... Zamalek akiwa bingwa alitolewa na Simba Hatua ya awali 2003.
Mimi hoja yangu ni kubahatisha. Hiyo Simba iliyomtoa Zamalek mwaka 2003 ilimtoa Zamelek kwavile Simba walikuwa na uwezo mkubwa kuliko Zamalek?
ili Simba ionekane haikubahatisha toa takwimu ya kufanya vizuri kila msimu unaofuatia baada ya kufikia hatua fulani ya mafanikio.

Kuhusu usajili, Simba ilifanya usajili na kisha kutokana na aina ya usajili uliofanywa tukaambiwa safari hii Simba itafika hatua ya nusu fainali.
Wachezaji wa kimataifa
1. Tairone Santos da Silva
2.Gerson Fraga
3.Wilker da Silva
4.Shiboub
5.Deo Kanda
6. Kahata
 
Back
Top Bottom