habari wapenda soka,
jana kulikuwa na mechi ya nusu fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa africa, kati ya Waydad casablanca na Al ahly
mechi hiyo ilichezwa mjini Cassablanca huku waydad akiwa mwenyeji. na al ahly alikuwa ugenini.. mechi iliisha kwa al ahly kushinda goli 2-0 ugenini
katika kitu kilichonishangaza ni kumuona kocha wa mamelodi .. mzee mosimane akiwa kama kocha wa al ahly.. na mtangazaji akatangaza kwamba kocha wa mamelodi ameibadilisha sana al ahly jinsi ya kucheza ugenini,,, zamani al ahly ugenini wanapaki bus tu,,, ila jana wanashambulia mwanzo mwisho kama hawapo ugenini vile na mtangazaji akaongezea kwa style ile kweli mosimane ana haki ya kulipwa usd 120,000 per month na bonus kibao na al ahly ( kumbuka huu mshahara ni sawa na milioni karibu 300 za kitanzania kwa mwezi) mshahara wa mwezi mmoja ni mkubwa kuliko mafao ya mbunge
nikawaza Simba na yanga yangu tunaweza kuajiri makocha kama mosimane, makocha wetu mishahara yao ikoje?
kila siku tunafukuza makocha, why tusiwe tunafanya hunting kama al ahly walivyofanya kwa kocha wa mamelodi.. maana kwenye hela hakuna mtu anakataaa
ofa kama aliyopewa mosimane hata viongozi wa mamelodi walimuelewa alivyowaambia anaacha kazi yao,, maana ofa ya al ahly ni nono sana
Pitso Mosimane reported new salary at Al Ahly dwarfs Mamelodi Sundowns deal