Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Wakuu, ninasangaa sana hasa wapenzi wa timu hizi wanapomlilia mtu mmoja hasa katika masuala ya usajiri wa wachezaji. Najiuliza vilabu hivi huwa wanasajiri wachezaji kutokana na mahitaji ya kocha au jeuri ya pesa toka kwa huyo mtu wanaemlilia? Amkeni.