Simba na Yanga ni uchawi unaotumiwa kupumbaza akili za vijana Watanzania

Wewe na nani...kwani nimeoa wangapi ?
Ndio hivyo ujue tu umeongea pumba... Ushabiki wa Mpira haujawahi kua kigezo cha watu kukosa ufanisi katika shughuli zao. Ukiona mtu anajadili mpira siku nzima ujue hana cha kufanya ila sio ameacha anachofanya ili ajadili mpira siku nzima.
 
Ufanisi lazima ushuke maana unajadili mpira kwa kutumia akili,na ufanisi unaletwa na akili iliyotulia sio inayowaza mpira 24/7....au ww unajadili mpira kwa kutumia makalio?
 
Hivi wanasiasa mnapo preach uhuru mnakuwa mnalenga uhuru upi?Leo hii mtu kuchagua kujadili mpira imekuwa kikwazo kwa maendeleo ya taifa?

Unataka wajadili siasa za Membe na ACT au Membe na CCM,Zitto na CHADEMA au Zitto na ACT.Hivi mtu akae ajadili vitu vya hivi?wanasiasa mnabadilika kama vinyonga, hakuna anayeweza kuaminika, kwa hiyo acha vijana wajadili kitu wanachopenda kwa maana nyie ndio kila kukicha mnapreach uhuru.

Kikubwa,tafuta pesa ukipata tumia ni zako na ukikosa pia ni juu yako.Achana na vijana katika chaguzi zao na msipende kuwa madikteta kabla ya kupewa mamlaka
 
Ufanisi lazima ushuke maana unajadili mpira kwa kutumia akili,na ufanisi unaletwa na akili iliyotulia sio inayowaza mpira 24/7....au ww unajadili mpira kwa kutumia makalio?
Yeah sio makalio yangu tu ninayo tumia kujadili hata yako sometimes napita nayo
 
Umesema vema kwamba mpira ni starehe hivi ni kwa nini hii starehe imekuwa na nguvu kiasi kwamba imeteka mijadala mingine yoote!? Vijana siku hizi wanaamka wanawaza mpira wanalala wanawaza mpira na kila wanapokutana wanazungumza mpira wakati kama nchi tuna changamoto lukuki ila hazipewi muda kujadiliwa!
Ndio maana nimekuhuliza huko Uganda kwa rafiki yako ambako hawatumii muda mwingi kujadili simba na yanga wana kipi cha ziada kuizidi Tz?
Mbona Mu7 anawaongoza kama ngombe na hakuna kitu wana mfanya?
Nimeitumia Udaga kama mfano nikiwa na maana ya kwamba hata ingetokea Tz kusiwepo simba na yanga hakuna chachote ambacho kinge badilika.

Kwa sababu jamii ya kiafrika imejaa wapumbavu wengi kuanzia viongozi mpaka raia.
 
Jose Ortega y Gasset(1930),
The Revolt of the Masses.

Tuko kwenye nyakati za “mass culture”.

Some hicho kitabu kwa ufahamu zaidi.

Unaweza pia ukajiongeza kwenye hii mada kwa kumsoma Alexis de Tocqueville- the tyranny of the majority in a democracy- ndani ya Democracy in America.
 
Athari yake ni ipi ukilinganisha na upenzi w kuvunja amri ya sita?
Athari yake kubwa ni kupoteza focus kwenye mambo ya maendeleo yenye kuhitaji akili,kwa WASHABIKI athari ya mpira ni kubwa sana ila sio rahisi ukaigundua...shetani ameinvest sana kwenye mpira ili kumuondoa mtu kwenye reli.

Kwa wachezaji wao wana faida za kiafya na kiuchumi angalau
 
Kwa hyo mashabik wote wanaojazana uwanjani huko ulaya ni wajinga sio?
Wewe hujui kuwa wajinga duniani ni wengi kuliko werevu!?

Ni wajinga tu maana genius huwezi kumkuta uwanjani,ata enzi za akina Isaac Newton mpira ulikuwepo lakini dunia isingewaenzi kwa ushabiki wa mpira bali utumiaji sahihi wa akili zao.
 
We una mchango gan kweny hii nchi hadi uanze kujitenga na kuanza kushambulia watu kisa hawatak kufuata utakacho...mind ur busness broo..ukifuata ya watu utachelewa kufanya yako
 
We una mchango gan kweny hii nchi hadi uanze kujitenga na kuanza kushambulia watu kisa hawatak kufuata utakacho...mind ur busness broo..ukifuata ya watu utachelewa kufanya yako
...kufuata utakacho kusikufanye kufuata ata ujinga,unapotea na ukipotea athari ni kwa familia yako na taifa
 
Athari yake kubwa ni kupoteza focus kwenye mambo ya maendeleo yenye kuhitaji akili,kwa WASHABIKI athari ya mpira ni kubwa sana ila sio rahisi ukaigundua...shetani ameinvest sana kwenye mpira ili kumuondoa mtu kwenye reli.

Kwa wachezaji wao wana faida za kiafya na kiuchumi angalau
Kwa wenye IQ ndogo ndo wanapoteza focus..na nahc hata ww upo kweny hili kundi....mpira ni kujifurahisha tu as long as hakuna sheria inayovunjwa pale unaposhabikia mpira mimi sion haja ya kuanza kupangiana ni stareh gan nifanye na ipi nisifanye
 
Ndio maana nimekuhuliza huko Uganda kwa rafiki yako ambako hawatumii muda mwingi kujadili simba na yanga wana kipi cha ziada kuizidi Tz?
Mbona Mu7 anawaongoza kama ngombe na hakuna kitu wana mfanya?
Nimeitumia Udaga kama mfano nikiwa na maana ya kwamba hata ingetokea Tz kusiwepo simba na yanga hakuna chachote ambacho kinge badilika.

Kwa sababu jamii ya kiafrika imejaa wapumbavu wengi kuanzia viongozi mpaka raia.

Shida yetu waafrika tunapenda usanii na michezo kuliko uzalishaji mali.

Usanii na michezo ni fursa tu katika jamii ambazo tayari zinajitosheleza kwa mengi.

Alafu jamii hizo ambazo nyingi zimejaa uharamia zinatumia hiyo michezo na usanii kunyonya sio nchi changa tu bali hata raia wao wenyewe.

Suluhisho sio kufuta vilabu vya michezo kwasababu siyo peke yake inayohamisha fikra za vijana kutoka kwenye uzalishaji wa mali. Zipo sinema, tv, mitandao, radio fm, makanisa ya kimagumashi na hata siasa uchwara nk.

Suala ni kubadilisha uelekeo wa fikra za vijana na hili linahitaji mapinduzi makubwa katika elimu wanayopata vijana wetu.

Kinyume cha hapo tukubali tu kuwa tumechagua kuwa watu wa kudharaulika sana hapa duniani kwasababu hatuna ubora wala tija hata kwenye hivyo tunavyovipenda.

Usanii na michezo vilivyotukuka vinakuja na maendeleo makubwa ya uchumi na watu.
 
Kwa wenye IQ ndogo ndo wanapoteza focus..na nahc hata ww upo kweny hili kundi....mpira ni kujifurahisha tu as long as hakuna sheria inayovunjwa pale unaposhabikia mpira mimi sion haja ya kuanza kupangiana ni stareh gan nifanye na ipi nisifanye
Iwe Kwa kiasi,sio mpaka unakesha halafu kazini au darasani unaanza kusinzia au kupoteza focus
 
Back
Top Bottom