Simba mwaweza letewa chekechea ya TP Mazembe

Hiyo SASA ni dharau, sidhani kma hii habari ni ya ukweli, Kama kweli ni hivyo WASIJE , kuliko kucheza na kikosi chao cha pili Bora tucheze na prisons kudadadek, hatutaki dharau....
Hamna namna,
Klabu kubwa zipo bize... Alikeni KMKM
 
Mkuu walaumu To Mazembe waliokataa kuleta timu yao siku yenu, kubalini kucheza na kikosi Chao Cha pili, Ile Mazembe yenyewe hawana muda wa kupoteza
Ndio mama yako amekuambia hivyo baada ya kutoka chumbani kwa kapumbu.
 
Ni ujinga unaingia Facebook halafu unaingia kwenye Mazembe TV unachagua comment ya mchangiaji halafu unaifanya kama tamko la Mazembe ,ndo maana Lucy kawaida nyani
Wewe subiri kuletewa waimba kwaya
 
Aliewaitaga nyani akukosea!! Minyani mwitu, mijitu mwitu,inabweka kama mbwa..yule mzungu aliona mbali sana..mijitu ya utopolo chura FC Ina shida sana,sijawahi kumuona mtu yuko utopolo akawa na akili timamu
Hebu ongea vitu vilivyo na maana, huelezi hoja ukaeleweka, unarusha matusi tu kama wale mbumbumbu wa Rage.
 
Back
Top Bottom