Simba mpeni Mwaikimba mkataba hata wa miezi sita

Timu si zipo nyingi tuu tz?? Kwanini kulazimisha Simba tuuu??? Au anataka akafafuniwe na akina chama, dilunga, mkude n.k???
 
Katika washambuliaji ninaowakubali Mwaikimba ni mmoja wapo.
Ana shabaha ya goli
Anaihakika wa kufunga
Ana nguvu
Ana kila sifa ya mshambuliaji.
Tatizo hakujiamini tu pale alipokuwa ktk kiwango cha juu.
Alistahili kucheza ulaya kabisa kama angejiamini.
Hakika nina mmisi Mwaikimba.
Kama kuja Simba na aje tu hata kwa mkataba wa miezi Sita.
Na atafunga sana.
 
Wewe umeongea wengine si watu wa mpira halafu wanabisha bila hoja. Jamaa currently ana kiwango kuliko hata Bocco ambaye anamiss chansi za waziwazi. Halafu ni mtu matured.
 
Wewe umeongea wengine si watu wa mpira halafu wanabisha bila hoja. Jamaa currently ana kiwango kuliko hata Bocco ambaye anamiss chansi za waziwazi. Halafu ni mtu matured.
Ni kweli, wengine ni washabiki wa mchezo wa mpira na hawafanyi tathmini ya mchezo na wachezaji.
Mshambuliaji lazima awe na sifa kamili za ushambuliaji na sio ubahatishaji.
Kabla ya kupokea pasi, mshambuliaji mzuri lazima aliangalie goli lilipo na aliposimama kipa.
Pia kabla ya kupiga shuti ni lazima mshambuliaji japo apepese macho haraka golini ili kujihakikishia pa kupeleka mpira ili afunge.
Ukiangali magoli ya kalibuni aliyoyafunga Chama utaona jinsi anavyo chungulia golini kabla ya kupiga mpira wa mwisho ndio maana anaweza kufunga hata kwa shuti dhaifu kwa ku usukuma tu mpira nyavuni.
Kunamshabuliaji wetu huyu yeye anachojua ni kupiga shuti kali golini basi.
Matokeo yake mashuti yake mengi yanaenda nje ya goli, mengine yanagonga besela, mengine yanamgonga kipa na kukosa goli.
Ukifanya hivyo unaikaba timu maana unacheza nafasi ya beki wa timu pinzani ya kuokoa mipira badara ya kuisaidia timu yako kushinda pambano.
Mwaikimba ni mmoja kati ya washambuliaji wenye sifa za mshambuliaji.
Sema alikosa kocha na timu nzuri ya kuboresha kiwango chake.
 
Back
Top Bottom