Simba mjifunze kwa Mzee Baba aliyekuwa na majigambo akaishia kuangukia pua, hata nyingi mnaweza kuangukia pua dakika za mwisho

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).

Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua waliofikia, ila niwaonye wapunguze majigambo na kujimwambafai kama ilivyokuwa kwa Mzee Baba na wasaidizi wake ambao mpaka leo hawaamini Mzee Baba hatunae tena.

Mkiendelea kunyanyua mabega na kujiona mmefika, mna hatari ya kuangukia pua katika hatua zinazofuata kama ilivyotokea mwaka 1993 katika fainali za kombe la CAF ambapo hamkuamimi kilichotokea licha ya madai kuwa kuna wachezaji walihujumu ile mechi.

Nakumbuka hata miaka ile tambo zilikuwa ni kama hizi za leo(Simba Taifa kubwa, Yanga kimataifa hawawezi, n.k) ila mwisho wa siku kilichotokea Uwanja wa Taifa wote mnakijua.

Kumbukeni hata Mzee Baba alikuwa kama nyie ila leo yuko wapi? Overcofidence, majigambo ya kupitiliza, kudharau wengine na kujiona mmefika, viitawaponza. Muwe na kias,ila mkibeba kombe, ruksa lakini sio sasa.

Mna haki ya kujipongeza na kushangilia, but too much of everything is harmful

Utani wa jadi na vijembe katika soka ni jambo la kawaida duniani kote, ila wenzetu hapa Bongo mmevunja/ mmeweka rekodi mkiongozwa na Msemaji wenu, Bwana Haji Manara.

Msije kusema hatukuwaambia.
 
Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).

Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua waliofikia, ila niwaonye wapunguze majigambo na kujimwambafai kama ilivyokuwa kwa Mzee Baba na wasaidizi wake ambao mpaka leo hawaamini Mzee Baba hatunae tena.

Mkiendelea kunyanyua mabega na kujiona mmefika, mna hatari ya kuangukia pua katika hatua zinazofuata kama ilivyotokea mwaka 1993 katika fainali za kombe la CUF ambapo hamkuamimi kilichotokea licha ya madai kuwa kuna wachezaji walihujumu ile mechi.

Nakumbuka hata miaka ile tambo zilikuwa ni kama hizi za leo(Simba Taifa kubwa, Yanga kimataifa hawawezi, n.k) ila mwisho wa siku kilichotokea Uwanja wa Taifa wote mnakijua.

Kumbukeni hata Mzee Baba alikuwa kama nyie ila leo yuko wapi? Overcofidence, majigambo,kudharau wengine na kujiona mmefika, viitawaponza.

Ww ukilala ukiamka unamuwaza Magu!!!?
keshaenda yule tafuta chimbo lingine la kutolea stress
 
Dah mkuu Salary Slip sikuwahi kufikiria kuwa umeumbwa na roho ya chuki kiasi hicho. kulingana na nyuzi zako kwenye jukwaa la siasa mwanzoni nilijua unaichukia ccm(hii ni kabla ya uchaguzi wa 2015) baadaye ikawa ni chuki dhidi ya magufuli au mwendazake kama mnavyomuita sasa. Lakini sasa hata dhidi ya simba sijui hapa mtaelewana vipi na mhafidhina mwenzako Erythrocyte maana yy humwambii kitu kuhusu simba sc. Mkuu kifupi mashabiki wa simba hawajimwabafai kama unavyofikri ww ila wana kila sababu ya kufurahia mafaniko waliyofikia kwa sasa na ikikumbukwa kuwa tangu mwanzo wa safari yao wale wenye husda dhidi yao waliwatabiria kuanguka kwa kila gemu na imefikia mahali waanaanzisha nyuzi na kuzitelekeza baada ya utabiri wao kutotimia yawezekana hata wewe huu uzi pia ukautelekeza kama ulivyotelekeza nyuzi zako zingine kule kwenye jukwaa la siasa. Mwisho nikunong’eneze kwa sauti kubwa kuwa kumchukia aliyefanikiwa hakukuongezei chochote ila stress. Tuache siasa na usimba na uyanga ni vizuri kujifunza kwa jirani yako aliyefanikiwa hata ikiwa unamchukia

Chizi Maarifa leo umekuwa muungwana njoo umpe somo uto mwenzio huku

Nadhani club inaendeshwa ki pro na siku hizi hata wachezaji wetu wanaelewa kuwa hata kama team iko form vipi sio vizuri ku underestimate wapinzani wako.

Hivyo najua hata kocha lazima anawaambia players wake kuwa wasibweteke na anatengeneza approach nzuri kwa kila game tuyocheza kulingana na tunaecheza nae.

All in all kufungwa ni sehemu ya mchezo sio Simba ifunge Utopolo mje hapa kusema ni kwasababu tulibweteka.

Ila Simba inafurahisha sana jamani hata Utopolo mabandani siku hizi huwa wanakiri. Utasikia "kweli Simba imekuwa tamu".
 
Wewe ndio umenielewa vizuri.
 
Kufungwa ni kufungwa Tu haijarishi mlishangilia Sana au kidogo, mlianza Kwa kusema hatuingii makundi tukaingia, ikaja hamvuki tumevuka, kwahiyo nyie mtaongea lugha zote Ila haziwezi kufanya watu waache kusherekea kufika mbali kisa kuna kufungwa, Simba ndio itakuwa ya Kwanza kufungwa?

mmekuwa wagumu Sana kukubali ukweli kuwa hivi sasa Simba ina kikosi kizuri na mnayoyaona sio bahati mbaya bali ni uwezo, kwahiyo nyie badirisheni Tu chorus kadri mnavyotaka ila haiwasadii chochote mngejikita kwenye kuboresha team yenu ili nanyie mje kuona raha ambayo wanaipata Simba

Huo ushauri upeleke yanga maana wanajua kabisa hawana uwezo wa kubeba kombe la ligi Ila mmekaa kujazana upepo kuwa mtashinda ligi kuu, hivo huu ushauri wako utawafaa sana kujiandaa kisaikolojia, ya Simba mtuachie wenyewe tukishinda tutashangilia na tukifungwa mtashangilia UTOPOLO
 
We jamaa hujui mpira kabisa. Kwani Simba haijawahi kufungwa?! Ikitokea ikafungwa ni kawaida. Ndiyo mpira. Lazima tushangilie kinachofanyika sasa, hayo ya baadaye ni matokeo ya kawaida kwenye mpira. Eti ushinde halafu uwe mnyonge, si ubora ujitoe tu. Huu ni uandishi wa kinafki. Yaan kila mechi Simba ikishinda, lazima lije bandiko kuhusu mechi zinazofuata. Watu wanaumia sana, wakiongozwa na mtoa post. Simba ikitolewa baada ya hapa si kitu cha ajabu. Endelea kuumia tu.
 
Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).

Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua waliofikia, ila niwaonye wapunguze majigambo na kujimwambafai kama ilivyokuwa kwa Mzee Baba na wasaidizi wake ambao mpaka leo hawaamini Mzee Baba hatunae tena.

Mkiendelea kunyanyua mabega na kujiona mmefika, mna hatari ya kuangukia pua katika hatua zinazofuata kama ilivyotokea mwaka 1993 katika fainali za kombe la CUF ambapo hamkuamimi kilichotokea licha ya madai kuwa kuna wachezaji walihujumu ile mechi.

Nakumbuka hata miaka ile tambo zilikuwa ni kama hizi za leo(Simba Taifa kubwa, Yanga kimataifa hawawezi, n.k) ila mwisho wa siku kilichotokea Uwanja wa Taifa wote mnakijua.

Kumbukeni hata Mzee Baba alikuwa kama nyie ila leo yuko wapi? Overcofidence, majigambo,kudharau wengine na kujiona mmefika, viitawaponza.Muwe na kiasi ila mkibeba kombe, ruksa lakini sio sasa.

Mna haki ya kujipongeza na kushangilia, but too much of everything is harmful

Utani wa jadi na vijembe katika soka ni jambo la kawaida duniani kote, ila wenzetu hapa Bongo mmevunja/ mmeweka rekodi mkiongozwa na Msemaji wenu, Bwana Haji Manara.

Msije kusema hatukuwaambia.
CUF hii hii ya lipumba au?
 
We jamaa hujui mpira kabisa. Kwani Simba haijawahi kufungwa?! Ikitokea ikafungwa ni kawaida. Ndiyo mpira. Lazima tushangilie kinachofanyika sasa, hayo ya baadaye ni matokeo ya kawaida kwenye mpira. Eti ushinde halafu uwe mnyonge, si ubora ujitoe tu. Huu ni uandishi wa kinafki. Yaan kila mechi Simba ikishinda, lazima lije bandiko kuhusu mechi zinazofuata. Watu wanaumia sana, wakiongozwa na mtoa post. Simba ikitolewa baada ya hapa si kitu cha ajabu. Endelea kuumia tu.
Anyway,sawa Bwana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom