Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).
Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua waliofikia, ila niwaonye wapunguze majigambo na kujimwambafai kama ilivyokuwa kwa Mzee Baba na wasaidizi wake ambao mpaka leo hawaamini Mzee Baba hatunae tena.
Mkiendelea kunyanyua mabega na kujiona mmefika, mna hatari ya kuangukia pua katika hatua zinazofuata kama ilivyotokea mwaka 1993 katika fainali za kombe la CAF ambapo hamkuamimi kilichotokea licha ya madai kuwa kuna wachezaji walihujumu ile mechi.
Nakumbuka hata miaka ile tambo zilikuwa ni kama hizi za leo(Simba Taifa kubwa, Yanga kimataifa hawawezi, n.k) ila mwisho wa siku kilichotokea Uwanja wa Taifa wote mnakijua.
Kumbukeni hata Mzee Baba alikuwa kama nyie ila leo yuko wapi? Overcofidence, majigambo ya kupitiliza, kudharau wengine na kujiona mmefika, viitawaponza. Muwe na kias,ila mkibeba kombe, ruksa lakini sio sasa.
Mna haki ya kujipongeza na kushangilia, but too much of everything is harmful
Utani wa jadi na vijembe katika soka ni jambo la kawaida duniani kote, ila wenzetu hapa Bongo mmevunja/ mmeweka rekodi mkiongozwa na Msemaji wenu, Bwana Haji Manara.
Msije kusema hatukuwaambia.