Wanapenda kututisha sanaWe jamaa hujui mpira kabisa. Kwani Simba haijawahi kufungwa?! Ikitokea ikafungwa ni kawaida. Ndiyo mpira. Lazima tushangilie kinachofanyika sasa, hayo ya baadaye ni matokeo ya kawaida kwenye mpira. Eti ushinde halafu uwe mnyonge, si ubora ujitoe tu. Huu ni uandishi wa kinafki. Yaan kila mechi Simba ikishinda, lazima lije bandiko kuhusu mechi zinazofuata. Watu wanaumia sana, wakiongozwa na mtoa post. Simba ikitolewa baada ya hapa si kitu cha ajabu. Endelea kuumia tu.
Kumbe na wewe mtopolo! Duh hama huko mbogamboga na binzari binzari.Huwa mnafungwa hivi hivi kwa kujiamini kwenu na kujikuza kupita kiasi.
Kwani tatizo nini,tusishangilie jamani? Yanga na CCM damudamu kiroho cha koroshoNi kweli but mjue bado mko safarini
Tumeshawafanyia mademu zetu mipango mwakani nao wapande ndegeSo far Mikia a.k.a Manguruwe wamefanya vizuri. Huo ni ukweli. Lakini wawe humble in victory.
Wame guarantee timu nne mashindano ya CAF mwakani. Ni kitu kizuri lakini isiwe nyundo ya kabehi
Siasa zimempofusha huyu jamaa ni bora aziache kwa muda kidogo.Invisible ungefuta tu huu ujinga.
Huyu jamaa Salary Slip inaonekana ana utindio wa ubongo.
Kila kitu anahusianisha na Mzee BABA.
Kwani wote waliokufa walikuwa na majigambo?
Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).
Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua waliofikia, ila niwaonye wapunguze majigambo na kujimwambafai kama ilivyokuwa kwa Mzee Baba na wasaidizi wake ambao mpaka leo hawaamini Mzee Baba hatunae tena.
Mkiendelea kunyanyua mabega na kujiona mmefika, mna hatari ya kuangukia pua katika hatua zinazofuata kama ilivyotokea mwaka 1993 katika fainali za kombe la CAF ambapo hamkuamimi kilichotokea licha ya madai kuwa kuna wachezaji walihujumu ile mechi.
Nakumbuka hata miaka ile tambo zilikuwa ni kama hizi za leo(Simba Taifa kubwa, Yanga kimataifa hawawezi, n.k) ila mwisho wa siku kilichotokea Uwanja wa Taifa wote mnakijua.
Kumbukeni hata Mzee Baba alikuwa kama nyie ila leo yuko wapi? Overcofidence, majigambo ya kupitiliza, kudharau wengine na kujiona mmefika, viitawaponza. Muwe na kias,ila mkibeba kombe, ruksa lakini sio sasa.
Mna haki ya kujipongeza na kushangilia, but too much of everything is harmful
Utani wa jadi na vijembe katika soka ni jambo la kawaida duniani kote, ila wenzetu hapa Bongo mmevunja/ mmeweka rekodi mkiongozwa na Msemaji wenu, Bwana Haji Manara.
Msije kusema hatukuwaambia.
Hapana mkuu mi naona chadema na yanga ndo kurwa na doto kule kuna pingapinga political party huku kuna malalamiko fcKwani tatizo nini,tusishangilie jamani? Yanga na CCM damudamu kiroho cha korosho
Tumwache ameprove kuwa hajui siasa na mpira nao haujui hao ndiyo wananchi wanoongozwa na yule bwana aliyepigwa ban. Kwa hii post yake jamaa kathibitisha maneno ya yule kocha mbelgiji kuwa jamaa ni........Naona jukwaa la kisiasa haliwatoshi, Sasa mmekuja kutusumbua huku. Hivi swala la kifo cha binadamu unawezaje kukilinganisha na kushinda katika michezo.? Yani leo hii Simba wasigurahie ushindi wakati ambapo team inaonyesha ushindani Ili iweje, basi hakuna maana ya ushabiki Sasa.
Ninachojua mimi kuhusu uhai wa mtu ni kwamba, hata uwe mtu usiejivuna kama mashabiki wa Simba, uwe ni mtu wa majivuno, uwe mtu mwenye roho ya kishetani au uamue kuishi kama malaika, kufa ni lazima. Kwahiyo hiyo mzee hata kama asingekufa mwaka huu siku moja angekufa tu.
Ninachojua kuhusu michezo ni kwamba, uwezo na bahati ndo vinavyoamua mshindi bila kujali una majivuno au hauna. Basi kama kutokuwa na majivuno ndo njia ya kupata ushindi, waambie yanga waacha majivuno Ili wafike ilikofika simba. Vipi ile team inayoshika mkia ligi kuu, ipo hapo kwakua inajivuna? Kwenye mpira kama una uwezo wa kushinda unao tu, hata kama ukijivuna.
Wewe jamaa,kaa ufahamu kuwa Roho mbaya sio nzuri,Km vipi na wewe shinda halafu ujigambe.Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).
Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua waliofikia, ila niwaonye wapunguze majigambo na kujimwambafai kama ilivyokuwa kwa Mzee Baba na wasaidizi wake ambao mpaka leo hawaamini Mzee Baba hatunae tena.
Mkiendelea kunyanyua mabega na kujiona mmefika, mna hatari ya kuangukia pua katika hatua zinazofuata kama ilivyotokea mwaka 1993 katika fainali za kombe la CAF ambapo hamkuamimi kilichotokea licha ya madai kuwa kuna wachezaji walihujumu ile mechi.
Nakumbuka hata miaka ile tambo zilikuwa ni kama hizi za leo(Simba Taifa kubwa, Yanga kimataifa hawawezi, n.k) ila mwisho wa siku kilichotokea Uwanja wa Taifa wote mnakijua.
Kumbukeni hata Mzee Baba alikuwa kama nyie ila leo yuko wapi? Overcofidence, majigambo ya kupitiliza, kudharau wengine na kujiona mmefika, viitawaponza. Muwe na kias,ila mkibeba kombe, ruksa lakini sio sasa.
Mna haki ya kujipongeza na kushangilia, but too much of everything is harmful
Utani wa jadi na vijembe katika soka ni jambo la kawaida duniani kote, ila wenzetu hapa Bongo mmevunja/ mmeweka rekodi mkiongozwa na Msemaji wenu, Bwana Haji Manara.
Msije kusema hatukuwaambia.
Hii mada ni ya Simba au mzee baba?

huo mfano hauna link. Sports and entertainment ni mambo ya kujivunia na swags. Hizi ni starehe,ni sawa na kumwambia mtu afike tu kileleni lakini asikojoeeeeeeeeee
Ww ukilala ukiamka unamuwaza Magu!!!?
keshaenda yule tafuta chimbo lingine la kutolea stress