Kwahiyo ina maana wewe ndiye unayelijua hilo kuliko vichwa vyote vilivyopo Simba? Au wewe ndiye uliyechangia hadi kufika hapa ilipo?! Utopolo wivu utawaua!Ni kweli but mjue bado mko safarini
Kuna timu yenye washhabiki roporopo kama vyura fc? Nenda na wivu wako huko. Hata hiyo 1993 yanga wana mchango wao kuihujumu simba na ndiyo maana siku ile waliisapoti sana Ivory Coast.Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).
Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua waliofikia, ila niwaonye wapunguze majigambo na kujimwambafai kama ilivyokuwa kwa Mzee Baba na wasaidizi wake ambao mpaka leo hawaamini Mzee Baba hatunae tena.
Mkiendelea kunyanyua mabega na kujiona mmefika, mna hatari ya kuangukia pua katika hatua zinazofuata kama ilivyotokea mwaka 1993 katika fainali za kombe la CAF ambapo hamkuamimi kilichotokea licha ya madai kuwa kuna wachezaji walihujumu ile mechi.
Nakumbuka hata miaka ile tambo zilikuwa ni kama hizi za leo(Simba Taifa kubwa, Yanga kimataifa hawawezi, n.k) ila mwisho wa siku kilichotokea Uwanja wa Taifa wote mnakijua.
Kumbukeni hata Mzee Baba alikuwa kama nyie ila leo yuko wapi? Overcofidence, majigambo ya kupitiliza, kudharau wengine na kujiona mmefika, viitawaponza. Muwe na kias,i ila mkibeba kombe, ruksa lakini sio sasa.
Mna haki ya kujipongeza na kushangilia, but too much of everything is harmful
Utani wa jadi na vijembe katika soka ni jambo la kawaida duniani kote, ila wenzetu hapa Bongo mmevunja/ mmeweka rekodi mkiongozwa na Msemaji wenu, Bwana Haji Manara.
Msije kusema hatukuwaambia.
CUF hii hii ya lipumba au?
huo mfano hauna link. Sports and entertainment ni mambo ya kujivunia na swags. Hizi ni starehe,ni sawa na kumwambia mtu afike tu kileleni lakini asikojoeeeeeeeeee
Mpuuzi mmoja huyo mkuu anaeteseka na wivu wa mafanikio ya simba, robo fainali tena tena kwa kuongoza kundi usishangilie, atuacheWe jamaa hujui mpira kabisa. Kwani Simba haijawahi kufungwa?! Ikitokea ikafungwa ni kawaida. Ndiyo mpira. Lazima tushangilie kinachofanyika sasa, hayo ya baadaye ni matokeo ya kawaida kwenye mpira. Eti ushinde halafu uwe mnyonge, si ubora ujitoe tu. Huu ni uandishi wa kinafki. Yaan kila mechi Simba ikishinda, lazima lije bandiko kuhusu mechi zinazofuata. Watu wanaumia sana, wakiongozwa na mtoa post. Simba ikitolewa baada ya hapa si kitu cha ajabu. Endelea kuumia tu.
Hata usiposema, Simba ni timu iliyojipanga na inajitambua, na ushauri wako hata hauongezi chochote. Hatua ya robo fainali iliyofikiwa na Simba katika michuano ya Klabu Bingwa ya Afrika 2018/2019 na 2020/2021 ni kubwa kuliko hatua ya fainali ya Kombe la CAF (kama lilivyoitwa wakati huo) mwaka 1993. Kama ulikuwa upo kando na michezo kwa muda mrefu kwa mujibu wa maelezo yako mwenyewe, unawezaje kuanza kuipa ushauri timu iliyofika zaidi ya katikati ya safari? Mipango huwa haipangwi katikati ya project, mipango hupangwa mwanzo wa project kabla ya hatua ya implementation. Simba ilishapanga mambo kwa kusajili wachezaji na benchi zuri la ufundi, hayo yalifanyika mwanzoni. Sasa iweje mtu ambaye hakuwahi kutoa ushauri wakati wa usajili aje kutoa ushauri robo fainali, tena ushauri wenyewe ni kwamba 'msijimwambafy'!? Kwa ufupi, watopolo kaeni pembeni kwa mechi hizi, tunapokutana ni Vodacom Premier League, na sio CAF Champions LeagueMsije kusema hatukuwaambia.
Kelele ni moja ya vitu mhimu ktk mpira ili kuzitisha timu pinzani. Unapowakataza mashabiki wa simba kujitutumua na timu yao ni wazi hujui dhana ya ushabiki.Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).
Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua waliofikia, ila niwaonye wapunguze majigambo na kujimwambafai kama ilivyokuwa kwa Mzee Baba na wasaidizi wake ambao mpaka leo hawaamini Mzee Baba hatunae tena.
Mkiendelea kunyanyua mabega na kujiona mmefika, mna hatari ya kuangukia pua katika hatua zinazofuata kama ilivyotokea mwaka 1993 katika fainali za kombe la CAF ambapo hamkuamimi kilichotokea licha ya madai kuwa kuna wachezaji walihujumu ile mechi.
Nakumbuka hata miaka ile tambo zilikuwa ni kama hizi za leo(Simba Taifa kubwa, Yanga kimataifa hawawezi, n.k) ila mwisho wa siku kilichotokea Uwanja wa Taifa wote mnakijua.
Kumbukeni hata Mzee Baba alikuwa kama nyie ila leo yuko wapi? Overcofidence, majigambo ya kupitiliza, kudharau wengine na kujiona mmefika, viitawaponza. Muwe na kias,ila mkibeba kombe, ruksa lakini sio sasa.
Mna haki ya kujipongeza na kushangilia, but too much of everything is harmful
Utani wa jadi na vijembe katika soka ni jambo la kawaida duniani kote, ila wenzetu hapa Bongo mmevunja/ mmeweka rekodi mkiongozwa na Msemaji wenu, Bwana Haji Manara.
Msije kusema hatukuwaambia.
Huu ushuzi, ukuponyoka tuu kwa bahati mbaya.Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).