Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

Nadhani sasa kila mtu amejionea Simba wamemleta mgeni rasmi wa ovyo matokeo yake tumefungwa na Mazembe. Hivi uongozi wa Simba unakwama wapi lakini?
 
Ni kawaida yenu kuleta wageni rasmi wenye makandokando, mlishagaleta makonda mpaka akawa mshauri mkuu wenu, mara leo mnaleta ndugai, akuna asiejua makandokando ya ndugai kumleta kuwa mgeni rasmi ni kuunajisi mpira wetu na kuonyesha mnamuunga mkono kwenye yote anayofanya uko bungeni,,,endeleeni kujipaka kinyesi na nuksi
Na tayari nuksi imetutokea puani mkuu. Tumepigwa na Mazembe. Yaani siku ya leo imeisha vibaya sana.
 
Back
Top Bottom