Simba kutumia uwanja gani wa nyumbani Robo fainali kombe la Mabingwa?

HPAUL

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
410
567
Nasikia uwanja wa Mkapa unafungwa mara baada ya mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes tarehe 24 March kwa ajili ya marekebisho ya AFCON under 17, na Simba wamechagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa ajili ya mechi za TPL. Jee hiyo ban ya uwanja wa mkapa itahusisha pia mechi za kombe la mabingwa wa Africa? Na kama ni hivyo Simba itapeleka wapi mechi ya kwanza ya Robo Fainali inayotakiwa kufanyika hapa nchini kati ya tarehe 6 na 7 April
 
Write your reply...
hapo ndo tunapofeli,mazingira ya uwanja yalizoewa na wachezaji ni jambo la kuzingatia ktk soka,tumafanya kosa tuliofanya kwenye mechi ya kwanza ya kufuzu afcon tz vs lesotho matokeo 1-1,tulifanya kosa hilihili kwenye mechi against rwanda mechi ilikuwa ya kufuzu chan,jamaa wakaipeleka mwanza

ni jambo la kijinga,ila ni la kuzingatiwa
 
wawaachie kwa mchina mikia washangiliwe na fans wao 60,000
 
Write your reply...
hapo ndo tunapofeli,mazingira ya uwanja yalizoewa na wachezaji ni jambo la kuzingatia ktk soka,tumafanya kosa tuliofanya kwenye mechi ya kwanza ya kufuzu afcon tz vs lesotho matokeo 1-1,tulifanya kosa hilihili kwenye mechi against rwanda mechi ilikuwa ya kufuzu chan,jamaa wakaipeleka mwanza

ni jambo la kijinga,ila ni la kuzingatiwa
 
Akuna namna lazima utumike maana ili ni swala la nchi. Ukizingatia mechi yenyewe ni moja tarehe 6 alafu mechi ya ufunguzi Afcon ya vijana ni tarehe 14 baada ya hapo utatumika kwa mechi ya fainali tarehe 28.
Nasikia uwanja wa Mkapa unafungwa mara baada ya mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes tarehe 24 March kwa ajili ya marekebisho ya AFCON under 17, na Simba wamechagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa ajili ya mechi za TPL. Jee hiyo ban ya uwanja wa mkapa itahusisha pia mechi za kombe la mabingwa wa Africa? Na kama ni hivyo Simba itapeleka wapi mechi ya kwanza ya Robo Fainali inayotakiwa kufanyika hapa nchini kati ya tarehe 6 na 7 April
 
Wangekuwa na uwanja wao wasingepata hii shida..
Nasikia uwanja wa Mkapa unafungwa mara baada ya mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes tarehe 24 March kwa ajili ya marekebisho ya AFCON under 17, na Simba wamechagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa ajili ya mechi za TPL. Jee hiyo ban ya uwanja wa mkapa itahusisha pia mechi za kombe la mabingwa wa Africa? Na kama ni hivyo Simba itapeleka wapi mechi ya kwanza ya Robo Fainali inayotakiwa kufanyika hapa nchini kati ya tarehe 6 na 7 April

Ni wakati wa mashabiki/wanachama wa Simba kuchangia ujenzi wa uwanja
 
Huyo aliyenunua timu simnasema ana utajili wa tirioni 3.2 kutoa bilioni kumi kujenga uwanja anapata shida gani?
mo amewekeza bilion 20 kama sijakosea, sidhan kama inatosha kujenga uwanja wenye standard..
 
mkuu mwanza ndo kila kitu, ila kwa sababu wachezaji wamezoea taifa, waachwe wakinukishe palepale.
 
Back
Top Bottom