Simba kutinga robo fainali tunakunja Bilioni 1.56 kiroho saaafi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,896
106,907
Huu ndio mchanganuo wa prizes mpya za CAF kuanzia 2017-2020 kwa CAF Champions. Baada ya kukunja mabilioni kwenye hatua ya makundi,sasa Mnyama wenu tumekunja tena USD 650,000 sawa na takribani TZS. 1,560,000,000

Champions: US$ 2.5 million

Runners-up: US$ 1.25 million

Semi-finalists: US$ 800,000

Quarter-finalists: US$ 650,000

3rd in group stage: US$ 550,000

4th in group stage: US$ 550,000

Mungu atupe nini tena? Au robo tupewe Mamelod Sundown tukakunje Bilion 2 kasoro za nusu Fainali?

Source Prize money for CAF competitions effective 2017
 
Simba imeshauaga umasikini,ukizingatia inaendeshwa kisomi na kibiashara chini ya tajiri Mo Dewji. Ukizingatia pia mkataba wa Sportspesa unakaribia kuisha,ni imani yangu Mo Dewji anatafuta udhamini wa kufuru. Hakika msimu ujao tunaenda kuwa mabingwa wa Afrika
 
Huu ndio mchanganuo wa prizes mpya za CAF kuanzia 2017-2020 kwa CAF Champions. Baada ya kukunja mabilioni kwenye hatua ya makundi,sasa Mnyama wenu tumekunja tena USD 650,000 sawa na takribani TZS. 1,560,000,000

Champions: US$ 2.5 million

Runners-up: US$ 1.25 million

Semi-finalists: US$ 800,000

Quarter-finalists: US$ 650,000

3rd in group stage: US$ 550,000

4th in group stage: US$ 550,000

Mungu atupe nini tena? Au robo tupewe Mamelod Sundown tukakunje Bilion 2 kasoro za nusu Fainali?

Source Prize money for CAF competitions effective 2017
Mkuu ebu weka kama unaweza tulichopata toka tunaanza mechi ya kwanza mpaka sasa ni madolari kiasi gani tuone tunawasaidia vipi wale omba omba!
 
Huu ndio mchanganuo wa prizes mpya za CAF kuanzia 2017-2020 kwa CAF Champions. Baada ya kukunja mabilioni kwenye hatua ya makundi,sasa Mnyama wenu tumekunja tena USD 650,000 sawa na takribani TZS. 1,560,000,000

Champions: US$ 2.5 million

Runners-up: US$ 1.25 million

Semi-finalists: US$ 800,000

Quarter-finalists: US$ 650,000

3rd in group stage: US$ 550,000

4th in group stage: US$ 550,000

Mungu atupe nini tena? Au robo tupewe Mamelod Sundown tukakunje Bilion 2 kasoro za nusu Fainali?

Source Prize money for CAF competitions effective 2017
Natamani tupewe mamelod au horoya, hawa tunawamudu vizuri sana.
 
Tunaenda kupata aibu nyingine,itakuwa zaidi ya hamsa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ni Yanga, lakini walipofikia Simba inabidi tuwapongeze....Wana kamati nzuri ya ushindi, inayofanya kazi kwa weledi...Nadhani kamati yao ina dhamira ya kweli kuhakikisha Simba inashinda...Hii ni tofauti na kamati za Yanga ambazo hujazwa watu wenye midomo, majivuno na sifa...Ndiyo maana kwa Yanga wanaoteuliwa kuna wengine hujitoa haraka kwenye kamati hizo kwa kuwa kuna umimi mwingi...nawapongeza Simba kwa kweli....lakini nawapa tahadhari, kwani nafahamu fika kinachofanyika, wawe makini na baadhi ya mbinu chafu kwani ipo siku zitagundulika na kuwa fedheha siyo kwa Simba tu bali hata kwa nchi...kila la kheri Simba...ombeeni mpangiwe Mamelodi Sundowns kwani kwa maoni yangu ndiyo ambayo ni afadhali ...na Simba waombee mchezo wa kwanza uwe ugenini...
 
Kweli mkuu wakipangiwa Wydad au Costantine itakuwa zaidi ya ugaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukaweka hayo mahesabu vizuri Mkuu,tujue hatua ya makundi wamepata kiasi gani na sasa kiasi gani?

Maana kuna kuna sehemu nimeona hiyo billion1.56 ukitoa 5% ya TFF ndio jumla ya pesa itakayopata kwa kufika makundi na robo!
 
simba ndiyo timu iliyofungwa magoli mengi yani ikiwa na goal difference -7 ila imevuka, je nikipi bora sasa? nadhani jibu ni kuvuka.
Mungu azidi kusimamia vilabu vyetu vya nyumbani viweze kusonga mbele zaidi na zaidi maana mafanikio yao ni mafanikio ya taifa maana wachezaji wakipata pesa Tanzania imepata , Taifa limepat pia Taifa linapata heshima.
Mungu bariki Tanzania,
Mungu bariki Simba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom