Simba kukata rufaa goli la chirwa wadai aliotea

Sio kukata rufaa kwa ajili ya goli, bali kwa ajili ya ule mkono wa Yondani ile ni penati iliyo wazi.
Tafuta video za azam tv zinaonyesha.
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Wale mezan fc, wa kupakatwa fc, fifa fc wamedai wanataka kukata rufaa kwa gol la kusawazisha wa chirwa et aliotea

Mezan fc mna bahat sana pambanen na hali zenu hakuna point za bure hapa

LONDON BABY
Sare imewatoa kimasomaso! Inaelekea mlitegemea kifo, Maana kila chura anatabasamu usoni.
 
Kaendelee na uzi wa intaviuuuu kule!
Droo naona kwa ndala imefirahiwa sanu wakati simba ni majonzi..
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Wale mezan fc, wa kupakatwa fc, fifa fc wamedai wanataka kukata rufaa kwa gol la kusawazisha wa chirwa et aliotea

Mezan fc mna bahat sana pambanen na hali zenu hakuna point za bure hapa

LONDON BABY
mzee wa misukule usiku huu imeamka nini misukule yako.
simba chura.jpg
 
Back
Top Bottom