weka clip tuoneAman iwe nanyi wapendwa
Wale mezan fc, wa kupakatwa fc, fifa fc wamedai wanataka kukata rufaa kwa gol la kusawazisha wa chirwa et aliotea
Mezan fc mna bahat sana pambanen na hali zenu hakuna point za bure hapa
LONDON BABY
Na mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa Rais alikuwa ni Jakaya Kikwete. Sasa Magufuli anaelekea mwaka wa tatu.Watu bwana, eti mara ya mwisho Yanga kuifunga Simba mabasi ya mwendokasi yalikuwa hayajaanza kazi
Sare imewatoa kimasomaso! Inaelekea mlitegemea kifo, Maana kila chura anatabasamu usoni.Aman iwe nanyi wapendwa
Wale mezan fc, wa kupakatwa fc, fifa fc wamedai wanataka kukata rufaa kwa gol la kusawazisha wa chirwa et aliotea
Mezan fc mna bahat sana pambanen na hali zenu hakuna point za bure hapa
LONDON BABY
Unaikumbuka droo yenù na Mtibwa?Sijui kwa nini mkitoa droo vyura huwa mna furaha?
Mara ya mwisho simba kuchuķua ubingwa mabasi ya mwendokasi bado hayajaundwa na wala wachina waliķuwa hawana mpango huoWatu bwana, eti mara ya mwisho Yanga kuifunga Simba mabasi ya mwendokasi yalikuwa hayajaanza kazi
mzee wa misukule usiku huu imeamka nini misukule yako.Aman iwe nanyi wapendwa
Wale mezan fc, wa kupakatwa fc, fifa fc wamedai wanataka kukata rufaa kwa gol la kusawazisha wa chirwa et aliotea
Mezan fc mna bahat sana pambanen na hali zenu hakuna point za bure hapa
LONDON BABY