nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
dah ila msomali Analiwa hela kizembe sana watu wanachukua samples zilizotumwa kwenye #simba jersey challenge tena wamechukua ile sample mbovu wanaitembeza mtandaoni, unajua haikuwaga siri ziliztumwa nyingi sana hizi ni baadhi nendeni m kaprint kabisa na hizi msambaze mtandaoni ILA MSIWE NA HARAKA WATOTO WA LITTLE JUMAMOSI MAMBO HADHARANI