Simba Jersey Challenge: Utopolo njooni na huku mchukue sampuli

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,423
2,000
dah ila msomali Analiwa hela kizembe sana watu wanachukua samples zilizotumwa kwenye #simba jersey challenge tena wamechukua ile sample mbovu wanaitembeza mtandaoni, unajua haikuwaga siri ziliztumwa nyingi sana hizi ni baadhi nendeni m kaprint kabisa na hizi msambaze mtandaoni ILA MSIWE NA HARAKA WATOTO WA LITTLE JUMAMOSI MAMBO HADHARANI

3.jpeg
4.jpeg
1.jpeg
5.jpeg
2.jpeg
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,543
2,000
Hawa wajinga wanachukua samples za wakati washindani walipokuwa wanapeleka mawazo yao (concepts), basi wanakimbilia kuanzisha nyuzi humu eti zimevuja. Nyani huzaliwa na nyani, vinginevyo wazo la IGP Sirro lingesaidia sana
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,438

Kwahiyo ile nembo ya vunja Bei shingoni ni ni uongo hadi Ally Kamwe amepost ?aisee kama wamevujisha basi vunja bei katukosea sana
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,490
2,000
Hawa wajinga wanachukua samples za wakati washindani walipokuwa wanapeleka mawazo yao (concepts), basi wanakimbilia kuanzisha nyuzi humu eti zimevuja. Nyani huzaliwa na nyani, vinginevyo wazo la IGP Sirro lingesaidia sana
Mama J F.C wanachojua ni kunyonya dushe tu, Mambo ya jezi na wao wapi na wapi? Ndomana wakatengenezewa jezi za vibwengo na wao wakakubali.
 
Sio ndio wananchi wale ama?
Na wasio Wananchi pale kwenye jezi utawajuaje?
 
kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
16,271
2,000
Mama J F.C wanachojua ni kunyonya dushe tu, Mambo ya jezi na wao wapi na wapi? Ndomana wakatengenezewa jezi za vibwengo na wao wakakubali.

Na wasio Wananchi pale kwenye jezi utawajuaje?
Ile si ni representation tu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom